Maajabu: Trafiki afa kwa kuomba rushwa kisha kuikataa!

Ni kweli huyo trafiki alifanya kosa kuomba na kutaka kupokea rushwa; lakini huyo mzee angefanya hivyo kwa mila rushwa mikubwa kama kina JK, EL, RA, AC, nk, angefanya la maana zaidi.
 
Kwa wale wanao pafahamu Kange tanga bila shaka kisa hiki watakuwa wamekisikia kama si kushuhudia!
Mimi ni mmoja wa walishiriki msiba huo juzi!!

Wengi naona mnashangaa aina ya thread yangu, kama vile hamuamini kuwa ni mimi?!!
Ina maana kwakuwa huwaletea yale maswala nyeti ya kitaifa hivyo nikiona kituko uswaz nisikileta?
 
Back
Top Bottom