shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,896
Pia kumbuka na maandalizi ya kubadili katiba, ili uchaguzi uwe miaka 7,ni lazima aweke mtu wake hukoBaada ya uteuzi mpya kufanyika stori zinaendelea. Aliyekuwa Katibu wa Bunge Dr.Kashilila amepumzishwa na atapangiwa kazi nyingine.
Nimetafakari sana tatizo itakuwa nini au ni uhamisho wa kawaida?
Katika siku za majuzi kati Katibu alifanya matukio kadhaa ambayo nadhani yatakuwa yamemgharimu.
Kuandaa vikao kati ya familia ya Lissu Tundu Lissu, Bunge na Chadema pamoja na TLS kuhusu jinsi ya bunge kusaidia matibabu ya Lissu
Lakini pia kuna zengwe la kuruhusu gari ya KUB Mbowe kwenda Nairobi
Haya ni mastori ya Town