Maajabu: CCM wajikomba msiba wa Masogange Mbeya

Mkuu hawa ni wale ambao hawajitambui. Angalia muonekano wao ndio utajua
Inaonekana hata chakula chao cha shida.
**sisiem buaana wanatafuta pa kutokea
Lakini wanaMbeya wamewakomesha wamejitokeza kama raia wa kawaida tu..
Siasa mpaka msibani mnachekesha kweli
Nyie endeleeni kuwaga wananchi
Wanatafuta kiki za kishamba
 
Ilianzia kwa Akwelina ikafuatia kwa Allein na sasa kwa Agness. Ukiona ccm wanagharamia mazishi ujue kuna mkono wao ulihusika kwenye kifo cha marehemu. Hii ndo deffensive mechanism wanayoitumia ili kuficha uhusika wao.
 
Bavicha wanashangaa Mtoto wa Kiongoz wa Chama kuzikwa Kwa heshma za Chama lakin hawashangai Mbwa wa Mbunge wao kuzikwa Kwa heshma zote za Chama Na blog zao zote zilikuwa live
 
images.jpg
 
Ni katika kuupokea Msiba wa Marehemu Masogange huko kwao mbeya kwa Ajiri ya mazishi.

inaonyesha wanachama wa CCM wakiupokea msiba huo huku wakiwa na sare zao za chama wakichukua jukumu la kuubeba mwili wa Marehemu masogange ni kama alikuwa Kada wa Chama hicho.


Swali langu ni kwamba marehemu alikuwa kada wa CCM au lah?
maana kuzunguka kwangu kote mtandao sijawahi kutana na picha ata ya kusingiziwa ya marehemu akiwa na Vazi la CCM.

View attachment 754279

Mambo mengine inabidi kujitoa ufahamu Hivi Hivi huweZi
 
Back
Top Bottom