Maajabu: CCM wajikomba msiba wa Masogange Mbeya

Kwa sababu chadema wamechemka ndio maana mnaponda ..wangeenda chadema mngeongea hayo?....kwani chadema mmezuiliwa ...acheni ujinga
 
Nimetizama waombolezaji wenye uniform za Ccm nikajiuliza ingekua cdm kungekua Na Hali Gani,hiki chama kimeishiwa ujuzi Na mbinu za kukifanya kuendelea kufanya vzr
 
Kama baba yake ni mwana ccm kweli na kiongozi kabisa halafu marehemu hajulikani chama chake wala hakuweka sharti ccm isihusike kwenye msiba wake sioni tabu kama ccm chama cha baba yake kilijitokeza kwenye msiba.

Maneno zaidi yatakuwa siasa tuu kwenye jambo la kawaida hilo.
 
Jamani mbona hawa watu wa CCM mbona hawako wazi?
Mwenye kujua cheo alichokuwa nacho Marehemu Agnes Masogange atuweke wazi ili tujue kwani hatukufahamu kuwa hata alikuwa mwanachama wa chama gani.
Nimeuliza hivyo kwa vile mazishi yake yamefanywa kwa heshima zote za chama hicho.
View attachment 754462View attachment 754463
Ccm wanalazimisha vitu vya ajabu sana
 
Back
Top Bottom