Pamoja na ukata mkali lakini bado kuna "nyomi" CCM .Hapa kweli Dr. Bana anasema magamba hawana mbadala.
pamoja na ukata mkali lakini bado kuna "nyomi" ccm .hapa kweli dr. Bana anasema magamba hawana mbadala.
hizi picah si za sherehe za CCM 2012 Mwanza!
Hilo linajulikana na wameisha jiandaa nalo, uoni Ambulance jinsi ilivyo karibu!!!jamani mnakumbukumbu jamaa keshaanguka mara 2 kirumba,sasa leo jiandaeni tena