maadhimisho ya ccm ndani ya ccm kilumba:updates

dr.dr.dr. Kikwete anaimbiwa nyimbo za wembe ni uleule ushindi...wachache wanamshangilia hali ya kumlaki si nzuri hata kidogo.
 
Naona kama kawa watu wachache wengi ni watoto sioni, hata ikipigwa hoyeeeeeeeeeeeee naona anjibu mtu mmoja, kwa kweli ccm wamefulia mbaya. Hata tv inaonyesha eneo moja tu.
Na huu ni mwanzo tu, kazi inogile kutukabidhi nchi yetu. Mkwer.e navyomfahamu anapenda sana population ila kwa watu kama hawa najua atanuna sana.

nape kasema wamepoteza mwanza kwa muda tu..wanairudisha kwani ni ngome yao ccm.
 
Jamaa naona kaota matiti aka gynacomastia hii huwa ni side effect mojawapo ya kula kuku wa kisasa, lakini pia ni side effect ya use of ARVs jamaa sinsikia ni candidate wetu au ni bullet proof
 
Jamaa naona kaota matiti aka gynacomastia hii huwa ni side effect mojawapo ya kula kuku wa kisasa, lakini pia ni side effect ya use of ARVs jamaa sinsikia ni candidate wetu au ni bullet proof

umamaanisha tayari umeme umemtembelea?
 
mama ana makinda kumbe ni mlezi wa mwanza.katambulishwa hapa.
 
mwenyeketi wa mwanza analalama kwanini hamna shangwe kwa kikwete.
 
imetangazwa hapa chakura ni bule kwa watu wote hapa uwanjani..watu wanaonekana kufurahishwa na huduma hii ya bule kabisa.
 
halaiki ya vijana na gwaride la chama cha mapinduzi cha jenga nchi. Wanajiita green gad..yetu macho.
 
wale walio vaa njano na kijani wameambiwa wasihofu, kila mtu atakula. wameambiwa chwakula kipo cha kutosha. hii ni dalili ya kwamba ccm bado wanategemea kupata wanachama kwa njia ya ubwabwa yaani beche. ova
 
jeshi la kijani la ccm ndo linajiandaa kupita mbele ya rahisi.
 
hili jeshi la kijani hawajui mwendo wa pole. miguu inapishana pishana, hahahahaaaa...
 
asante cameraman kwa kuonyesha viatu walivyo vaa. vidole vipo nje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom