Maadhimisho ya 5O uhuru ni Kichaka cha Wachache Kuliibia Taifa

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Narudia tena Kauli yangu,Maadhimisho haya. Ya miaka 50 ya uhuru...ni genge la watu fulani kufanikisha wizi wao...
Watu wamenunua magari
Watu wamejenga manyumba
Wameongeza mifugo
Wamelipia ada watoto wao wanaosoma majuu.

Kama gharama za maadhimisho hayo ni Zaidi ya Bil.50.
Wakati Riz1 kwenye fbk anashangaa kuwa ni bil 24,Hii haingii akilini.
Watoto wa alaiki walipewa kila 1 tsh laki moja.
Police,magereza na jwtz walipewa ngapi.
Yangu Macho.
 
Ndio maana tuliomba madege yale yaanguke yawafunike waishilie kwa mbali angalau tutakuwa tumepunguza mafisadi wakomavu maana wapo wadogo wanaibuka, bahati mbaya yalikataa kuwaangukia
 
Wameichakaza hazina kweli kweli,Na wao hazina waka spend 4b,
 
Ndio maana tuliomba madege yale yaanguke yawafunike waishilie kwa mbali angalau tutakuwa tumepunguza mafisadi wakomavu maana wapo wadogo wanaibuka, bahati mbaya yalikataa kuwaangukia

Kumbuka mkuu kama ingetokea hivyo ni hasara kwa ndugu zetu walokuwepo pale tu kwani wangekufa kama 500 na mafisadi kama 20 kwahiyo sisi ndo tungeteketea zaidi
 
Nazidi kuamini mjinga ni mjinga tu hata kama afananishwe na JK atabaki kuwa mjinga hivyo hivyo
 
Kumbuka mkuu kama ingetokea hivyo ni hasara kwa ndugu zetu walokuwepo pale tu kwani wangekufa kama 500 na mafisadi kama 20 kwahiyo sisi ndo tungeteketea zaidi

potelea mbali kwan kama wangekufa hao mafixadi 20 niweng sana hao ndugu zetu wasio na hatia wangekuwa wamekiokoa kizazi kijacho na tz kwa ujumla.
Mbona ndugu zetu wasio na hatia kbo tu wanakufa kwa kusababishwa na hao mafixadi.
 
hi nchi inaharibiwa na kundi dogo lenye madaraka makubwa ktk nchi hii.
Wanazitumia sheria na katiba kutuibia.
 
Back
Top Bottom