mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 5,597
- 5,606
Hao dawa yao ni ndogo. Mie nilikutana na wa aina hiyo nikablock line kwa kuweka password kisha nikaitia sim kwenye maji. Pambaf zake akawa mdogo. Then nikamnunulia cm ya mezani. Anaitumia mpaka leo.
Kama hukumuonya aache kutumia simu muda wa kazi basi umemuonea unaweza pandikiza chuki ndani yake na akiamua kujibu mapigo utaumia wewe.
Mkanye,muonye ha kumuelekeza waweza pia.