M4C yamchanganya akili Waziri na Mbunge Kassim Majaliwa Mnacho Jimboni Ruangwa

Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
3,041
2,422
Jana tarehe 7 Kassim majaliwa alikuwa Mnacho kijiji alichozaliwa kuwasihi Wanainchi kutopokea M4C,aliandaa ngoma akasema anakuja saa 5 au saa 7 lakini alikuja saa 12 na nusu jioni,wazee maarufu kama Ngango'la na Chinunje walikasirika mno kuchezewa akili na kijana mdogo kwao,kifupi alitoka Dsm kuwashawishi watu wa Ruangwa kutopokea M4c,kifupi kachelewa hakubaliki hata ndani ya nyinyiem jimboni,kashindwa kutimiza ahadi hata kijijini alipozaliwa yaani Mnacho Nandagala,kesho toka saa 8 mchana Slaa Dr atakuwepo,kumwaga elimu ya ukombozi kwa wamwera wenzangu wa Mnacho nilipozaliwa,kifupi watu wana hamu ya kusikia na kujivua gamba.Nitasafiri kesho kwenda kijijini nilipozaliwa na kesho nitawapatia habari kwani watu wa pale hawana access ya net,rumovement for change karibu nyumbani Ruangwa kijiji cha Mnacho Nandagala AKA Arusha.
Source ni Mjombaangu kiongozi wa Chadema hapo Mnacho anaitwa Son,nawasilisha UKANA SHILUNGO.
 
naona beki ya manyema imepewa kazi ya kukaba lionel mesi ngoja tushuhudie mtanange.
 
Huu msako wa M4C haitawabakiza na hata wengine wanaweza wakalazwa na hata wakapoteza maisha yao kwa haraka haraka ninavyoina tu.

ccm wana wakati mgumu mpaka watapigana vibaya sana wao kwa wao.

CDM! Twanga kotekote mpaka mafisadi waliopo ICU wazikwe mazima mazima
 
yaani msako wa nyani ngedere hasalimiki.m4c foever.
 
Huu msako wa M4C haitawabakiza na hata wengine wanaweza wakalazwa na hata wakapoteza maisha yao kwa haraka haraka ninavyoina tu.

ccm wana wakati mgumu mpaka watapigana vibaya sana wao kwa wao.

CDM! Twanga kotekote mpaka mafisadi waliopo ICU wazikwe mazima mazima
jamaa wana hali ngumuu, Chikawe,membe,majaliwa,kassembe MP wa Masasi ni mweupe mno ni mwepesi,ni maimuna shule hakun a alifeli mtihani wa qualfying test,Pipoooooooooooos............
 
Nne akuno njikola lipamba kung'au,kuchimbila,kunamahema movement jo shijijende?
 
chadema wasimamishe mihadhara yao mara moja ili watu tuelekeze macho na masikio yetu bungeni
 
Mawaziri Wana haha ghasia alikuwa anafikiri yeye ni mbunge wa milele huko kusini hamna jimbo ambalo lipo Tanzania CDM itaacha kusimamisha mgombea
 
Back
Top Bottom