M4C yaingia Moshi Vijijini Cyril Chami ahaha

Acha ukabila mkuu, kama huna cha kuchangia si ni bora ungenyamaza tu mkuu. Aibu sana kwa GT kama wewe kuwa na hoja mfu kama hizo. Akili zako zifanye zifikiri kwanza ili zishirikiane na viungo vya mwili.

Mkuu hivi kusema mambo ya Mwanza tunawaachia wasukuma wenyewe au kusema mambo ya Pemba tunawaachia wapemba wenyewe au kusema mambo ya Tarime tunawachia wakurya wenyewe ni ukabila?
 
Mkuu hivi kusema mambo ya Mwanza tunawaachia wasukuma wenyewe au kusema mambo ya Pemba tunawaachia wapemba wenyewe au kusema mambo ya Tarime tunawachia wakurya wenyewe ni ukabila?

Yaa,hiyo nidalili moja kubwa sana yaukabila!
 
M4C itaonekana ina nguvu iwapo itaweza kubomoa maeneo yafuatayo: Rufiji, Mafia, Kilwa, Masasi, Ruangwa, Liwale, Mtwara, Newala, Kibiti, Kilolo, Mufindi, Kyela, Kilindi, Pangani, MTERA, MVOMERO, TEMEKE, Pemba, Bagamoyo, Chalinze, Same, Mwanga

kyela CCM haina mashiko kule, subirin anguko la mnafiki mwenzenu.
 
naomba please CV ya komo anayeijua then i will come wth good idea is he is the one
 
M4C itaonekana ina nguvu iwapo itaweza kubomoa maeneo yafuatayo: Rufiji, Mafia, Kilwa, Masasi, Ruangwa, Liwale, Mtwara, Newala, Kibiti, Kilolo, Mufindi, Kyela, Kilindi, Pangani, MTERA, MVOMERO, TEMEKE, Pemba, Bagamoyo, Chalinze, Same, Mwanga

Ha ha ha ha ha ha! Maeneo yenye wais**** wengi waliolishana yamini na magamba! Kote huko M4C itafika ongeza na Kondoa, Igalula, Urambo, Nzega, Mpwapwa, Mtera, Kilolo, mpaka Uhindini, n.k. In short, hakuna jiwe ambalo halitageuzwa.
 
Acha ukabila mkuu, kama huna cha kuchangia si ni bora ungenyamaza tu mkuu. Aibu sana kwa GT kama wewe kuwa na hoja mfu kama hizo. Akili zako zifanye zifikiri kwanza ili zishirikiane na viungo vya mwili.

huyu sio GT ni GF
 
Mkuu hivi kusema mambo ya Mwanza tunawaachia wasukuma wenyewe au kusema mambo ya Pemba tunawaachia wapemba wenyewe au kusema mambo ya Tarime tunawachia wakurya wenyewe ni ukabila?
Kwa nini uwaachie wakati nawe ni mtanzania unaweza kuchangia hata mawazo!!!
 
Kumbukeni ADC iko nyuma yenu inanyata tartiiiiiiibu.[/QUiko nyuma yetu kivip embu toa ufafanuz kidogo mkuu!
Harakati ndio hizo hizo moja......naamini tutashirikiana kwa ukaribuuuuu kwani Uccm b hatuuwezi sisi ndio Maana tukajiengua kuleeeeeee!! Kwa wenye Ndoa Yao. Kifupi tuna aleji na Magamba hivyo ni vyema hili likafaamika mapema!
 
Albert Msando yuko wapi?
Eti huyu naye alitaka kuingia kwenye kinyannganyiro na Chami!

Jimbo la Moshi vijijini ni moja ya majimbo yanayojitambua ndani ya mkoa wa Kilimanjaro. Kamwe upinzani hauwezi kushinda tena katika jimbo hili. Tumeshuhudia vurugu za akinaa Ngawaiya akiwa upinzani na wenzake walivyorudisha nyuma maendeleo ya jimbo hili. Ni jimbo ambalo ni la mwisho kimaendeleo katika mkoa wa kilimanjaro.

Toka Chami ameingia, amefanya mambo makubwa ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa miradi mikubwa ya maji ya uhakika na sasa barabara zinatengenezwa kwa kiwango cha lami.

Hiyo movement na maandamano yenu yapelekeni huko huko kwa wasiojitambua, but kwa moshi vijijini mmechemka!!
 
Movement for change ya chadema imeingia jimbo la mosh vijijin huku mb wa jimbo hilo crily chami akikabiliwa na ombwe la kujiuzulu katika wizara anayoiwakilisha kiongozi wa kampeni hiyo ambaye pia alikuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha demokrasia na maendeleo chadema mwaka 2010 Ndg Antony komu ameanzisha mikutano ya hadhara katika kata ya kibosho kati lakin hata hivyo ndgu komu ameeleza kuwa jiografia ya jimbo la mosh vijijin hususan barabara ni tatizo ambalo limekuwa ni sugu katika kipindi cha miaka hamsin na kuwahamasisha wakaz wa kijiji cha boro na vya jirani kuchangia harambee hiyo ili kuweza kuwaeleza wananchi watanzania ni nini kinachangia wao kuwa maskini tangu nchi ya tanzania kupata uhuru mwaka 1961 watu waliokuwepo kwenye hadhara hiyo walichanga kiasi ya sh laki tano kwa ajili ya harambee hiyo hata hivyo bwana komu aliwaomba wananchi wanaopenda mabadiliko kote nchini kuchangia kupiti m-pesa 0752380740 M42 4REVER!

Kwa uandishi huu usio na nukta!!!!!!your level of education is std VII.
 
Majimbo mengi yatakuwa wazi baada ya presha kuchukua nafadi yake baraza la mawaziri kupigwa chini.
 
Kwa taarifa huyu jamaa antony komu 2005 alichangia kufanya kampeni kwa kukissupport ccm na 2010 ndiye aliyeshinda ila chami alimwonga m400 na inawezekana hata 2005 alipewa mlungula na chami chadema kuweni makini na huyu mtu ni hatari na mkeweza fuatilini hii habari ni kweli sio uzushi.
Kama ni kweli huna haja ya kutuambia, fitina tuuuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom