M4c - vita bado inaendelea - lema aichakaza chato ni jimbo la magufuli

mnaobagua eneo , hamuon sugu na wenzake wakiwa Iringa na mbeya?
je mikutanno ya Dodoma, kagera,songea,na sasa Dar?
Mnamatatizo ya kuzungusha ubongo!
 
Kule kugumu, wanapenda sehemu laini laini.....umewahi ona wapi mchaga anayependa shida??

Mkuu Rejao;kauli za CHADEMA ni chama cha wachaga hazina mashiko tena!!!!!!!
Hizo ni dalili za wazi za CCM kuishiwa hoja.
Hivi MBEYA,IRINGA,DAR na maeneo mengine ni sehemu za wachaga?
Nyie endeleeni kujidanganya tu;mwisho wa siku ni aibu na kifo kibaya kwenu!!!
 
29deb506-e0c5-d636.jpg
Absolutely....
Siku nyingine una akili wewe??
Ni kweli hatupendi shida ndio maana pia hatuipendi CCM inayoendelea kutupa shida watanzania. Hao Wagumu wanapenda shida, wanaendekeza shida wanaishi kwenye shida lakini HAWANA SHIDA...Ndio maana tangu nakua naisikia barara bara ya Kibiti Lindi Miongoyo then nakaribia kuzeeka bado hakija eleweka. Wavue gamba wanalokumbatia walau kwa miaka mitano tuone kama shida hazitapungua...Sipendi shida ndio maana sipendi anayeniletea shida!! ndio maana nimevua gamba nivae gwanda....Upo??




Ona huko kunakoitwa kusini!
ccm wanajivunia ujinga wa wapigakura wa ukanda huu.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1337581338754.jpg
    uploadfromtaptalk1337581338754.jpg
    133.3 KB · Views: 46
29deb506-e0c5-d636.jpg


Ona huko kunakoitwa kusini!
ccm wanajivunia ujinga wa wapigakura wa ukanda huu.


Maisha bora kwa kila mtanzania....Asalaaaaaaleeeeeeee..... Ningekuwa mwana sisiem kaazi kweli kweli kulitetea hili dubwana...lazima uve miwani ya mbao.....

Halafu mkuu jogi ukiona nyumba zilizo jirani na hiyo picha utahesabu za bati kijiji kizima (ambacho kule kwetu kieneo ni sawa na kata halafu hizo za nyasi kama zipo ni kwwa ajilli ya maonesho).....Cha ajabu zitakuwa zimepambwa kwa bendera zakijani na mabango ya Chagua Kikwete chagua CCM, Kasi Zaidi, Ari Zaidi Nguvu zaidi. Huo umeme unaouona hapo wanaishia kuona nguzo tu zikipita kwenye mashamba yao...hawana shida hawapendi shida.....
Ona kwa wasiopenda shida.....
View attachment kili.doc
 
Si waende pia kwenye jimbo la Shibuda au wanamwogopa?

Kwa Shibuda tena! kule si ndio Chadema damu damu hata Shubuda menyewe anjua kuwa ni mbunge wa CHADEMA. tena Usukumani CCM wa sahau kabisa na Shubuda Akienda CCM ndio kwa Heri akamuulize Danny Makanga aliyehama UDP kwa Mamose yuko wapi sasa.
 
Jana Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini G lema na makamanda wengine wamefanya mkutano mkubwa wa hadhara katika jimbo la Chato na kupokea wanachama na Makada muhimu wa CCM na wakati wanarejea safarini kurudi Mwanza gari lao liolizuiwa njiani pale Katoro na wananchi akiombwa kufanya mkutano hapo lakini alisema isengewezekana kwani kibali kilikuwa hakuna , hata hivyo makamanda leo wanaelekea ,Magu ambapo kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara "vua Gamba Vaa Gwanda"

Lema ndio kaandika mwenyewe
 
Wataendaji kwenye jimbo la Shibuda ambalo tayari liko mikononi mwa CDM pamoja na kauli zake tata? wanakwenda kwenye maeneo ambayo bado yako chini ya chama tawala!!!
 
Kubishana na REJAO ni kupoteza muda tu maana ana fikra mgando.Mpuuzeni tu.Asubili uchaguzi mdogo wa sumbawanga mjini atapata akili ya nguvu ya umma.Jaribu kutembelea Mkoa wa Rukwa utajua kuwa ccm ilikufa siku nyingi
 
Waache magamba waendelee na vikao vyao visivyoisha, wajanja tulishamaliza kukaa vikao kwa sasa ni execution ya maazimio ya vikao. CDM sera kwa vitendo, CCM sera za makabatini.
 
Hebu nitajie kwingine
Rejao Kichwa maji ukichanganya na kufikri thru Masaburi ---effects zake zinakuwa revealed na the way watu kama nyinyi Mnavyo Ji Expose.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom