M4C: Lema kuunguruma leo..

Anaogopa kurudia kazi yake ya ujambazi tayari anajulikana, ila mwache yeye na Heche wawashughulikie watoto wa vyuo vikuu wanaendekeza njaa sana hao.
hee kumbe lema ni jambazi sasa mbona hachukuliwi hatua za kisheria? kweli nimeamini maneno ya kamanda Mnyika kwamba nchi yetu inaongozwa na viongozi wadhaifu.
 
Ritz, wakati CHADEMA wakiwa SINZA, DAR,
CCM mpo kwenye UZINZI, SINGIDA..

Angalia tofauti kisha unyamaze kimya
 
Last edited by a moderator:
M4C Kila mahali, Pipoooz! Mpaka Kieleweke ccm ni DHAIFU

jana walikjula za uso pale Sinza hawajakoma tu CHADEMA? Ile ndo Sinza kwa wajanja bhana! watu hawataki longolongo pale. walifunda mapema sana saa 9 tu kwishney!!
 
jana walikjula za uso pale Sinza hawajakoma tu CHADEMA? Ile ndo Sinza kwa wajanja bhana! watu hawataki longolongo pale. walifunda mapema sana saa 9 tu kwishney!!

Acha uwongo jana palikuwa na mikutano ya kikata mmoja sinza na tabata kimanga na Lema kiboko yenu.
 
Back
Top Bottom