M4C: Lema kuunguruma leo..

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
M4C leo ni zamu ya sinza, wanafunzi vyuo vikuu waanza kukutana sinza white inn, ni kwenye mkutano utakao hutubiwa na kamanda Lema leo, wanafunzi zaidi ya 4000 kukutana...
======
updates
Maandamano mkubwa kutoka Sinza makaburini mpaka Sinza White Inn, watu ni wengi sana.

========
kwasasa mkutano mkubwa unaendelea Tabata Kimanga.
 
M4C leo ni zamu ya sinza, wanafunzi vyuo vikuu waanza kukutana sinza white inn, ni kwenye mkutano utakao hutubiwa na kamanda Lema leo, wanafunzi zaidi ya 4000 kukutana...

Baada ya mkutano Heche awafanye kama alivyotaka kumfanya Kasmil
 
lema bwana baada ya kukosa posho za ubunge sasa anaganga njaa kwenye kampeni ili aingize siku
 
lema bwana baada ya kukosa posho za ubunge sasa anaganga njaa kwenye kampeni ili aingize siku

Anaogopa kurudia kazi yake ya ujambazi tayari anajulikana, ila mwache yeye na Heche wawashughulikie watoto wa vyuo vikuu wanaendekeza njaa sana hao.
 
Enda kachukue posho white inn mchaga wewe kisha umpe Heche vilivyo vyake.

Mawazo dhaifu kama yako na ya wenzio ndio yameifikisha nchi yetu hapa ilipo......nichukue posho mie kibaraka wa Nape kama wewe?.....mwanaume mzima unauza utu wako kwa elfu mbili per day????? ....aibuuuuuuu!
 
Wahi white inn wewe ukakalie kiti chako.
 
Heche kaharibu kizazi hiki, Kasmil ametufumbua macho.

Huna jipya Nduka .....hebu jaribu kuishi kwa kujitegemea uone kama utatumiwa na wanaume wenzio namna hiyo......wenzio sahizi wanakula bata wewe umetumwa kuongea ujinga huku aibu ati.....njaa mbaya jamani.....ona wewe mtu mzima unavyouza utu wako!.....ukweli unajua kuwa hali ya nchi ni mbaya kwa sababu ya kuongozwa na mtu dhaifu ila unatetea ili upate elfu 2.
 
Last edited by a moderator:
M4C hakika haitawabakiza hawa mafisadi.

Nategemea M4C irudi huku Arusha Vijijini kwa haraka sana hasa upande wa Magharibi kwa huyu fisadi balaa naibu dhaifu wa wizara ya ardhi nyumba na maendeleo.
 
lema bwana baada ya kukosa posho za ubunge sasa anaganga njaa kwenye kampeni ili aingize siku

mawazo dhaifu ,watu dhaifu ,mwenyekiti dhaifu ,serikali dhaifu....poleni sana ....next time mtajifuna kuchagua watu wenye akili sio kila mtu anaweza kuwa rais....
 
Back
Top Bottom