Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 13,395
- 9,764
Mkuu hayo maneno ni ya kihuni tu wala hayana mantiki yoyote kwa jamii.
Wewe ni hakimu hadi utoe hukumu kwa Binadamu
Mkuu hayo maneno ni ya kihuni tu wala hayana mantiki yoyote kwa jamii.
Mkuu chama, tuache unazi katika hili....yaani tunatoa kafara askari wetu wakati tunajua kabisa kuwa Mbaya wa Congo ni Kagame mfadhili wa M23.
Kwanini !MONUSCO isijikite kuukata mzizi ambao ni Kagame wa mekimbilia Matawi ambayo ni M23.
Au CCM hamlijui hili????
Labda nikusaidie kuuliza maswali ya msingi, maana naona unalazimisha tuvae tai bila shati. Ulitakiwa uulize hivi: Nani ameruhusu nchi yetu kujiunga na UN? Ni bunge au kura ya maoni? Nini masilahi ya taifa katika ushirika wake na UN?
Uliza maswali hayo hayo kwa South Africa, Malawi, na nchi nyingine zilizopeleka majeshi huko.
Ndugu
Umeongea maneno ya msingi sana kwa sentensi moja tu.
Hivi tunaweza kuhalalisha uwepo wetu huko Congo katikati ya hivi vita kwa vigezo vipi ?
Respect !!!
Pumzika kwa amani kamanda wetu.
Poleni vijana wetu, I sugest the use of intensive air bombardiment, to reduce ground troops casualities.!!!
Watoto wamepoteza baba yao sisi tunakalia "pumzika kwa amani";Mke kapoteza mme wake sisi tunakalia "pumzika kwa amani"!Tunapata nn kwenye vita hivi?
Katiba mpya itamke ni Bunge tu lenye uwezo wa kupeleka vijana wetu vitani;Vita vya ki p u u z i kama hivi hatuvitaki tena!
Kama M23 wanafikia kuua kijana wetu mwenye uzoefu wa hali ya juu na mwenye cheo kikubwa kama hiki ambaye ana mbinu nyingi kwenye medani za kijeshi basi tutegemee mabalaa zaidi!
JK rudisha vijana wetu nyumbani!
MKUU hii ni nzuri hasa ridhaa ya Bunge kwani sasa inaonekana potician wanatafuta cheap popularity kupeleka watoto wa wenzao vitani halafu wakifa wanakuja na kauli za ovyoovyo za kufariji wafiwa na baada ya hapo inakuwa imekula kwa watoto wa marehemu.
Sipingi Jeshi letu kujihusisha na jitihada za Usalama ila ninachopinga ni viongozi wetu kukubali kutoa vijana wetu bila kuweka utaratibu utakaohakikisha kwamba hatua za usalama zinachukuliwa na vijana wetu wanakuwa na uwezo wakushambulia muda wowote watakaoona inafaa na siyo kwa visingizio vya kujilinda. Hili suala la Konga ni uzembe wa Komandi ya UN kwani hakuna sababu unajua mtu anatakiwa kuwa disarmed wewe unaremba unamwacha km mbilitatu toka ulipo eti ukisubiri sijui itafaki gani...Kama hawako tayari Majeshi yetu yarudi nyumbani na watakapokuwa tayari twenda moja kwamoja kushughulika na M23 na ijulikane hivyo.
Mheshimiwa raisi, warudishe watoto wetu nyumbani. Wafe kwa ajili ya kulinda nchi yao lakini siyo kwenye vita na watu wa Kagame
Kagame ana Vikosi vingi vya Ulinzi na Jeshi lake ni Kubwa sana ukilinganisha na idadi ya majeshi ktk Nchi jirani na njia rahisi ya kumudu kugharimia Jeshi lake kubwa ni kupora madini na Rasilimali nyingi toka Congo kwa kutumia m23 ambao wamejichanganya na Makomandoo wa jeshi la Rwanda hivyo Kagame anajua Congo ikiwa Huru tu kwake njaa itabisha hodi atakosa pesa za kugharimia Jeshi lake kubwa matokeo yake Uasi wa ndani utajongea na kumtoa Madarakani Ndio Maana kagame amebuni mbinu Nyingi kuiyumbisha Tz kiuchumi Mara ahamie Bandari ya Mombasa Mara hv Mara vile ili mladi auhadae ulimwengu huku akiendelea kushusha siraha kwa m23 na kupora Mali za Congo kiulaini
mkuu hii ni nzuri hasa ridhaa ya bunge kwani sasa inaonekana potician wanatafuta cheap popularity kupeleka watoto wa wenzao vitani halafu wakifa wanakuja na kauli za ovyoovyo za kufariji wafiwa na baada ya hapo inakuwa imekula kwa watoto wa marehemu.
Sipingi jeshi letu kujihusisha na jitihada za usalama ila ninachopinga ni viongozi wetu kukubali kutoa vijana wetu bila kuweka utaratibu utakaohakikisha kwamba hatua za usalama zinachukuliwa na vijana wetu wanakuwa na uwezo wakushambulia muda wowote watakaoona inafaa na siyo kwa visingizio vya kujilinda. Hili suala la konga ni uzembe wa komandi ya un kwani hakuna sababu unajua mtu anatakiwa kuwa disarmed wewe unaremba unamwacha km mbilitatu toka ulipo eti ukisubiri sijui itafaki gani...kama hawako tayari majeshi yetu yarudi nyumbani na watakapokuwa tayari twenda moja kwamoja kushughulika na m23 na ijulikane hivyo.