M-PESA waihujumu CHADEMA?

wenye akili tunajuwa janja yenu, mbona mmekomaa na m pesa? Mnataka kunakiri wenye vitambulisho mfanye tathmini ya wapiga kura? Maana kwa kujaza mikutano mnaona kama inawadanganya. Mliko lala cc ndo tuliko amkia ccm juu
 
Hata mie nimejaribu sana lakini hola, tigo inasema kosa namba 60021, sijui ni hujua au nini
 
Ktk hali ya kushangaza ukituma m pesa kwa CHADEMA inakataa kulikoni?.

Mwenyewe nimetuma mara nyingi sana inakataa mpaka simu imeisha betri. Labda server ya M-MPESA inashindwa ku accommodate flow ya watumaji.
 
Mwenyewe nimetuma mara nyingi sana inakataa mpaka simu imeisha betri. Labda server ya M-MPESA inashindwa ku accommodate flow ya watumaji.

Hii ni hujuma tu, nami nimejaribu mara nyingi lkn imegoma, wamenikera sana.kesho naondoa visent vyangu
siitaki tena huduma ya watu wenye kuhujumu juhudi za ukombozi wa taifa letu.naanza peoplez power kwa vitendo.
 
Labda ni mapema kusema kuwa ni hujuma, japo nalo linawezekana.....

Maana haya makampuni ya simu yanaendeshwa kwa uoga wa hali ya juu utafikiri kuna uwalakini katika umiliki wake!!
 
Labda ni mapema kusema kuwa ni hujuma, japo nalo linawezekana.....

Maana haya makampuni ya simu yanaendeshwa kwa uoga wa hali ya juu utafikiri kuna uwalakini katika umiliki wake!!
Wakurugenzi wa bodi ni kina Msekwa et al. Unategemea nn hapo?
 
Ktk hali ya kushangaza ukituma m pesa kwa CHADEMA inakataa kulikoni?.
inawezekana ikawa hujuma pia, sio jambo la kushangaza sababu Rostam Aziz, Pius Msekwa ni baadhi ya Share holder wakubwa wa VodaCom Tanzania
 
Dick hata siamini kama na wewe ni magamba.....for sure hufanani mshikaji wangu...jiunge na chama makini.

Hakuna haja ya kumjibu mtu aliyeamua kwa akili yake mwenyewe kuwa chizi. Watu wa jamii ya Ritz, Dickson, Tuntemenke, FF, n co ni kuwapuuza. Wanajua ukweli, wameamua kuukataa hivyo kuendelea kuwajibu ni kupoteza muda na calories za kufikiria mambo ya msingi zaidi kwa ukombozi wa Taifa letu. Kwao kilicho cha muhimu ni picha ndogo ya matumbo yao na wezi wenzao wa rasilimali za Taifa.
 
Labda ni mapema kusema kuwa ni hujuma, japo nalo linawezekana.....

Maana haya makampuni ya simu yanaendeshwa kwa uoga wa hali ya juu utafikiri kuna uwalakini katika umiliki wake!!

navyojua m-pesa wana kiwango cha juu cha kuweka kwenye account ma. kama hawajafanya exception watu wengi watakwazika.
 
Back
Top Bottom