M/kiti wa UVCCM K/njaro aliyehamia CHADEMA, arudi CCM

Status
Not open for further replies.
Mkuu, huyu mtu angekuwa na maana kama angesema alihama baada ya kupewa 20m na azionyeshe kwa waandishi wa habari; aidha, ili kuonyesha jinsi anavyochukia hali hiyo, hizo fedha azitoe kwa ajili ya hudma yoyote ya jamii, lakini kama anasema aliahidiwa halafu hajapewa, imekula kwake !!!! Nani wa kumwamini, kwa nini asilete ushahidi wa kimaandishi ili kuthibitisha malalamiko yake.

SINA MPANGO WA KURUDI CCM..

Ndugu, toka jana kumekuwa na taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa 'nimeandika barua kwa katibu mkuu wa UVCCM Taifa kuomba nirudi CCM na niendelee kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro'..

Napenda kutumia fursa hii kukanusha vikali habari hizo, kwani zimejaa ulaghai na zimetungwa ili kunigombanisha na wana Chadema wenzangu...

Kwanza toka nijiuzulu, siajawahi kufanya mawasiliano yoyote na Katibu Mkuu wa UVCCM na wala kiongozi yeyote wa CCM, na ndio maana aliyesambaza huo uzushi ameshindwa kuonyesha hiyo barua anayoda nikiandika..

Toka niondoke CCM viongozi wanaweweseka kwani wanajua uwezo wangu, wanajua najua mbinu mbali mbali za kuwamaliza kisiasa..

Hivyo nawaomba wana watanzania, wana Chadema na UKAWA kwa ujumla puuzeni hizo taarifa kwani zimelenga kunichafua jina langu na kuniondolea uaminifu mbele ya makamanda wenzangu..

Niseme tu, sikuondoka CCM kwa kushawishiwa, sikuondoka CCM kwa kuhongwa hata senti moja. Niliondoka CCM kwa utashi wangu, na CCM ni chama kilichopoteza DIRA na kupoteza uhalali wa kuendelea kuwa chama.tawala hapa nchini..

Niwapeni pole sana marafiki zangu, ndugu zangu na wana Chadema wenzangu kwa usumbufu mlioupata kwa sababu ya uzushi Huo..

Mungu Ibariki Tanzania..
Mungu Ibariki Chadema.

By Frederick Mushi..
Mwana wa CHADEMA..

Kakanusha... Mtahaha sana nyie mafisiEmu
 
Magufuli mnamnadi saa ngapi?naona ni UKAWA full time

Ukiwa unajibu mtihanı tunashauriwa kuanza na maswali tunayoyajua na yenye alama nyıngi.CCM ,naamini wako very strategic.Wakikamata key persons kutoka kwenye maeneo watakayokuwa wameyastratify vizuri, Lowasa atashangaa jahazı linavyosepa na asiweze kupga mbizi kulifuata.
 
M/KITI WA UVCCM KILIMANJARO ALIYEHAMIA CHADEMA, ARUDI CCM - KUONGEA NA WAANDISHI LEOPARD HOTEL, MOSHI.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kilimanjaro ndugu Fredrick Mushi ambaye wiki moja iliyopita alijiunga na CHADEMA akitokea CCM na kupokelewa na wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, ameandika barua kwa Katibu Mkuu wa UVCCM ndg Sixtus Mapunda akiomba kurudishwa kwenye nafasi yake hiyo ya awali.

Katika barua yake, Ndugu Mushi ameueleza uongozi wa juu wa UVCCM kuwa alijiunga na CHADEMA baada ya kuhadaika alipofuatwa na Viongoxi wa juu wa CCM waliokuwa wakimuunga mkono LOWASA pamoja na Mzee Ndesamburo na kumuambia kuwa wahame pamoja nae na kwamba atapatiwa milioni 20.

Na alipokamilisha zoezi la kuita waandishi wa habari na kujitangaza kuhama amekuwa akipigwa danadana kuhusu malipo yake na kwamba mpaka sasa hajapatiwa kiasi hicho cha fedha.

Mushi ambaye alikuwa ni miongoni mwa Vijana wanaomuunga mkono LOWASSA tangu akiwa CCM amesema amejaribu kumtafuta Mzee Lowassa mara kadhaa lakini bila mafanikio. Kwani simu zake kwa sasa zinapokelewa na wasaidizi na wanamjibu Mzee yuko busy.

Mushi ameomba kurudishwa katika nafasi yake kama Mwenyekiti wa Vijana UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro na ameahidi kwa namna ile ile ya kuzungumza na waandishi wa habari, ataita tena waandishi wa habari kesho saa nne asubuhi, Leopard Hotel, Moshi mjini na kuongeza kuwa atazunguka kwenye majukwaa katika Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha kuelezea uongo na ulaghai wa CHADEMA wakitumia fedha kuwahonga na kuwadanganya Vijana.
 
naomba tarehe 1 september ifike nadhan tutaacha haya mambo mengne
 
Kichwa kikubwa akili ndogo,ndio umejichosha sana
 
jamani kipindi hiki tunatakiwa kuwa makini maana uzushi utakuwa mwingi
kwa sasa mimi tanaamini mtu anapoitisha press na kuzungumza mwenyewe live
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom