Lyatonga Mrema anajuta kujiuzuru uwaziri au anafanya kazi ya UWT?

Mrema rangi zake halisi zinaonekana dhahiri, hii huenda inatokana na uzee wa akili, maana ninaimani na ninajua anajua kuwa umri wake wakuishi ni mfupi kuliko umri aliokwisha ishi.....hana cha kupoteza....mwaka jana na mwaka huu ameamua kujivua joho la unafiki kuwa nae ni mpinzani wa kweli, ameonyesha alivyo na mahaba ya dhati na wanaCCM wenzake.
ameifunua siri ya moyoni mwaka, amebeba jukumu ziiito sana , jukumu la kumuosha Kikwete, amekuwa mwanapropaganda halisi.
wanamageuzi wakweli wanaendelea na mapambano dhidi ya Mafisadi na Chama Chao cha Mafisadi kwa gharama oyote, mwanzoni inaoonekana kama ni vita nguuumu, ila mwishoe haki na ukweli utasimama.
 
Huyu amepauka kisiasa na kiuchumi pia. Hana jipya, anatumia utu uzima tu kuishi hapa mjini.

Ni kweli hana jipya ila tatizo la baadhi ya watanzania huamini vitu haraka wanavyosikia kwenye vyombo vya habari au hata mtaani bila kuhoji. Kwa hiyo inawezekana kuna watu wanaweza kulishwa 'sumu' na huyu bwana. Pamoja na kuwa amepauka kisiasa, na huenda mwenyewe anajua hili na wanaomtumia wanajua, kinachotakiwa ni kutoa hajo dhidi ya sumu anayoeneza. Kwa njia hii atanyamaza.
 
Ninajiuliza kila siku, hasa baada ya mwenendo wa Mrema kutokueleweka kisiasa.

Kuanzia pale alipoamua kuwa upande wa CCM wakati wa Msiba wa Marehemu Chacha Wangwe, na kuwa kinyume na Chadema amekuwa haeleweki. Sasa hivi yeye yuko ‘bize’ kuwaponda wenzake wa vyama vya upinzani. Kitu ambacho sielewi ni; Mrema anajuta kujiuzuru uwaziri wa mambo ya ndani na kujiengua CCM au anaendelea kufanya kazi yake ambayo yasemekana ni usalama wa taifa?
**Mkuu unamaanisha UwT au ni kule kwa Kina mama zetu wa Umoja wa Tanzania?(UWT)....
anyway there has been and still is a symbiotic relationship btw. Mr.Mrema & the CCM.
 
**Mkuu unamaanisha UwT au ni kule kwa Kina mama zetu wa Umoja wa Tanzania?(UWT)....
anyway there has been and still is a symbiotic relationship btw. Mr.Mrema & the CCM.
Nimetumia UWT kama kifupi cha jina Usalama wa Taifa. Ni kifupi kinachotumiwa sana hapa JF kwa maana hii niliyosema.
 
Back
Top Bottom