Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Mungu ataendelea kuwasimamia na kuwalinda CHADEMA hadi watakapoikomboa Tz. Mungu ibariki cdm Mungu ibariki Tz.
 
mkuu si useme zaidi, au unakimbizwa? Hii habari ni nyeti sana, si ya kuileta kiharaka hivyo. Tuambie amefutiwa halafu kimekuwa nini? Hana kesi ya kujibu? Au imekuwaje sasa? Yupo huru?

that was crucial.the rest are merelly additiomnal.
 
Lwakatare amefutiwa mashitaka yote ya ugaiidi na judge wa mahakama kuu.
Amebakiwa na shitaka moja tu linalohusu madai.

AMEN! what a wonderfull day! Mwiguluuu!!! domo lako hilo (HATE SPEECH) limethibitiwa bungeni hakuna kubwabwaja tena, kalegezee domo lako ndani ya vikao vya maccm, shame on you Mwigulu!
 
Mwigulu alivyokua anatoka povu alijua majaji wote wa CCM.!!
 
Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.

Taarifa kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la utekaji ambalo lina dhamana.
. thatha Ritz chama hii habari hamjaipata ama? mpaka thatha
alijiabiza asubuhi hii, sijui anajisikiaje na huyo mwizi wa majina Mwigulu Nchemba, Tofauti ya maCCM na CDM, Maccm mnaanza na mashetani na mapepo kwenye harakati zenu, CHADEMA tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu...
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana Mwigulu safari hii amekua mpole sana.

alijua upepo utamwendea vibaya.

Mwigulu amewewereka sana bungeni akidai yupo tayari kutoa ushahidi duniani mpaka mbinguni kuwa kulikuwa na njama za kigaidi. Nadhani salamu toka High Court amezipata.
 
wewe ndio unasoma kama unakimbizwa mleta mada amesema lwakatare kabakiziwa shitaka moja la utekaji ambalo lina dhamana soma vizuri.

Watu walishazoea ziandikwe paragraph tatu huku zikitaja watu walikuwa wengi huku mkewe na familia yake ikitokwa na machozi ya furaha na mambo mengine mengi wakati hoja hapa jamaa alikuwa ndani kwa makosa hayo na jaji amefuta mashitaka kama sentence fupi ya jamaa ilivyojieleza
 
Namshukuru Mungu kwa ajili ya kuweka ukweli huu bayana ila Tuendelee kuomba Mungu ili wanaofanya dhambi hizi za kutesa watu na hata kuwaua kwa mateso wajulikane na Mwenyezi Mungu awaadhibu Watanzania wakishuhudia. kuliko hizo mbinu zao za kishetani za kubambikiza uovu kwa watu waadilifu kama Kamanda Wilfred mwenye uchungu wa Watanzania wenzake.
 
Hii ni habari njema, pole sana Bw. Lwakatare kwa usumbufu, kero na taabu ulizopata kwa kipindi chote wewe mwenyewe, familia, jamaa na marafiki pia.
 
Poleni sana Ma-ccm kwa pigo kubwa hilo, penye ukweli uongo hujitenga, ni kitu kibaya sana kumsingizia au kumbambikia mtu kosa, kumbuka alivyokaa mahabusu muda wote huo kwa uongo wenu, nawakikishia kuwa mmetenda dhambi, mmemtesa mtu asiye na hatia kwa interest zenu za kisiasa.
 
Back
Top Bottom