It is him again... wabunge wa CCM Arusha wavuliwa uanachama... Karamagi amchunia Zitto DIA... nitaweka hadharani picha za ngono za Kikwete... the list is endless..
Should we still bank on this Man?
It is him again... wabunge wa CCM Arusha wavuliwa uanachama... Karamagi amchunia Zitto DIA... nitaweka hadharani picha za ngono za Kikwete... the list is endless..
Should we still bank on this Man?
Naibu Katibu wa chama cha wananchi (CUF) upande wa Bara Bw. Wilfred Lwakatare amehukumikwa kifungo cha miezi 15 baada ya kupatikana na hatia na makosa ya kufanya vurugu na kumtishia msimamizi wa uchaguzi... more news to come...
masatu mtu mzima hatishiwi nyau, kama kweli unazo mwaya ila debe tupu haliachi kupiga kelele
Mtu wa Pwani nadhani umenielewa sivyo ndivyo! Nilichonukuu huko juu si maneno yangu bali ya one chap by the name Mwanakijiji. Having said that ushauri (hoja) yako ungeielekeza kwake...
enzi hizo
Wakati huo "watu" walikuamini ila leo hii unamtumikia "bin-adam"!Duhh! Hivi kesi si iliisha au ilirudi tena? Too bad and sad news!
It's an old story, boss lady!Lwakatare kahamia lini CUF?
Aisee....huyu jamaa kumbe ni verified humu!!!!!!?Duhh! Hivi kesi si iliisha au ilirudi tena? Too bad and sad news!
Mkuu wewe ndo umeufufua huu uzi!!Miaka hiyo
Duhh! Hivi kesi si iliisha au ilirudi tena? Too bad and sad news!
Hahaha kumbe ya 2007 daah ndio maana hata comments za Kitila Mkumbo nimejikuta sizielewi elewiIt's an old story, boss lady!