Njimba Nsalilwe
JF-Expert Member
- Mar 23, 2008
- 252
- 3
Wengi wenye mafanikio Bongo at one particular time walikuwa wezi wakubwa.
YES BUT THEY HAD A LIMIT!
Wengi wenye mafanikio Bongo at one particular time walikuwa wezi wakubwa.
..kuna wakati Mponjoli alikuja kumlilia shida zake ila Mzee huyu alimpa mgongo,
Mponjoli Asobenye Malakasuka ni mtoto mwenye mafanikio sana kutoka katika familia ya watoto wapatao 30 wa familia ya mzee Asobenye Malakasuka.
Mzee Asobenye Malakasuka ni tajiri aliyefilisika na mmiliki wa kampuni iliyokufa ya Ghana Building Contractors ya Mbeya. Katika miaka ya 1990 - 1995 kampuni hii ilikuwa ni moja ya kampuni machachari sana ya ujenzi katika nchi ya Tanzania. Na Mzee Asobenye alipata tenda nyingi sana kutoka serikalini na alikuwa kwa kweli ni moja ya matajiri wakubwa sana Tanzania.
Alipata ajali mbaya sana ya gari ambayo mpaka leo imemuacha kiziwi kabisa na hawezi kusikia hata kidogo. Mzee huyu kwa sasa ni masikini wa kutupa na anaishi na mke wake wa tano hapo Victoria House Plot Number 36, Ali Hassan Mwinyi Road, Mwananyamala. Anaishi katika nyumba ya chumba kimoja na familia ya watu wapatao 5 na mtoto wake wa mwisho anaitwa Gwabosa ambaye ana umri wa miaka ipatayo 16, na katoto hako ni MALAYA hatari.
Sababu kubwa ya Mzee Malakasuka kuishi maisha haya ni ukweli kuwa huyu Mzee ni kiwembe sana kwa wanawake na katika kipindi chote cha utajiri wake aliwekeza sana kwa wanawake na hata kuna wakati Mponjoli alikuja kumlilia shida zake ila Mzee huyu alimpa mgongo, sasa nadhani ilimuudhi sana mwanae huyu. Ila kwa habari nilizo nazo last time nimekutana na Mponjoli Bongo around August 15-25 alikuwa na mawasiliano na Baba yake na akienda Bongo kwa kweli Baba yake alikuwa anapata mshiko wa kufa mtu. Ila mwanamke anayeishi nae sasa kabinti hako ka miaka kama 35 hivi ndo anayefanya watoto wa Mzee huyu kumsusa Baba yao kwani kila wanachompa Mama huyu anachukua na kufanyia mambo yake.
Mzee Malakasuka ana kama miaka 70 au 75 kwa sasa. Mtoto wake wa kwanza Frank huyo ambaye mnamsema hapo juu kuwa alikuwa kiwembe, YES ni Marehemu kwa sasa na lile gonjwa la kisasa. Tulimzika mwaka 2003 kama sijakosea na dada yake mwingine pia tulimzika. Nadhani Familia ya Frank yote ni marehemu kwa sasa. Kaka yake mwingine anaitwa Hebron Malakasuka nae nadhani karibia tutamzika, huyu alikuwa anaishi Uingereza sasa yuko Bongo na mke wake ambaye nakumbuka miaka ambayo mumewe alikuwa UK nilishakutana nae akitoka Guest House fulani hivi na mbaba mwingine. Of course wote ni waadhirika so kwa sasa nadhani wameamua tu kuishi kwa matumaini.
Mponjoli amekuwa ndiye mtoto pekee wa Asobenye Malakasuka ambaye aliibukia kuwa na hela nyingi tu na kufanya mambo mazuri. Amemjengea Mama yake nyumba nzuri sana huko Mbezi beach na kumuanzishia biashara mbalimbali. Ila kikwazo kikubwa ni mdogo wa Mponjoli anayependa raha bila kufanya kazi anaitwa NIco Asobenye Malakasuka. Huyo bwana yeye bia na bia yeye. Huyo ndiye aliyemfanya Mponjoli kurudi Bongo na kuuza magari yote ya biashara na kufunga miradi yake yote Bongo. Ila Mama yake na Mponjoli hana shida naishi maisha safi na mara nyingi amekuwa akimpelekea Mzee Malakasuka hela ya kula na kumsaidia hapa na pale.
Mponjoli ni shujaa wa familia ya Mzee Asobenye, wewe unadhani kuwa na ndugu zaidi ya 25 hao ni wa kuzaliwa nao je wajomba na shangazi na wengineo? Kijana huyu amekuwa akiwasomesha wote na kuwapa hela ya kula na kuishi hapo Tanzania. Mazingira ndiyo yaliyomfanya kijana huyu akawa kama alivyo. Mponjoli asilaumiwe hata kidogo. Ahurumiwe kwa mzigo aliokuwa nao Tanzania.
Hayo mengine ni mambo ya kibiinadamu na kila mtu ana udhaifu wake. Kama aliuwa malaya basi ni sababu katika yeye kuna Genes za Mzee Malakasuka. Nitasema mengi zaidi kuhusu Mponjoli binafsi wakati mwingine ila hiyo ni INTRODUCTION.
London Mponjoli ana dada yake anaitwa Feda nadhani na dada yake mmoja kajaa jaa sana huyo yeye ni kama gangstar fulani anaitwa Eddy. Nadhani watamkumbuka kaka yao na kumpiga tafu.
Huyo Feda alishaiibiaga Bank ya NBC na kutorokea UK, so si mbaya ukaona hawa ndiyo staili yao hiyo.
jamaa mwizi, kwangu mimi hiyo ndio bottomline!! kwahiyo unataka kusema nini juu ya wale vibaka pale dizim?? nao pia wanashida.....so what?!!
YNM,
Kwako hii issue naona ni personal ndio maana una furaha jamaa kudakwa. Kama nilivyosema- mimi simfahamu huyu jamaa,nimemjulia hapa. I kind of sympathise with him and his family kwa kuwa kwa story zilizopo hapa utaona kwamba yeye ndio kichwa kwenye familia yao,jamani tusichekelee wenzetu wakipatwa na matatizo.
Inatakiwa ku sympathize na hao wanaodhurika na wizi wa wala sio mtu anaye commit crime.
Kila siku tunalalamika mambo ya mafisadi hapa, hata hao wana familia kubwa ndio maana wanaingia kwenye ufisadi.
Mtz kumbuka kuwa mafisadi wanaibia watu maskini and they dont even use their brains wala kutokwa jasho.Hata pale 40 yao inapofika hawatupwi lupango kama Mponjoli, wanaendelea kupeta tu!
NA kwa wale wanaotaka kumfananisha Dr. na vibaka wa mtaani, oneni aibu. The guy was doing big deals na sio wizi wa kijinga. Magari aliyoiba UK ni magari ya bei mbaya na yana insurance, so those people got paid. Hata dili alilopiga Dallas, alikuwa aniibia Benki na sio mtu binasfi na pia sio Benki ya TANZANIA. He does what he was to do to make his life the way he wants it to be, so if along the line Demu wako akapenda his way of living akampa mshijaki then u need to do some thing about ur life. that should tell u something