Lusinde akamatwa asubuhi hii USA akiwa na mabokisi yakura manne yakiwa na kura zilizopigwa!!

Nasikia Ole Medeye nae alikutana na patashita la aina yake baada ya kulazimisha kuwa yeye ni waziri na yuko kazini, akaulizwa saa yako haina majira na vijana wa meru akakoswaswa na fimbo akakimbilia choo cha shule kujificha. Jamaa hawakumwacha wakavunja mlango wa choo wakampekuwa wengine wakapekuwa ndani ya gari wakuta milungula wakachukua. Nasikia wakamwambia sasa leo tunaku-cameroon akawapigia magoti akawaomba wasifanye hivyo. Gari likapigwa dereva akakimbiza gari akamwacha boss akimkimbilia kwa miguu umbali kidogo. Unaambiwa kumbe jamaa anajua kukimbia huyo usiombe kukutana Nguvu ya Umma.

Hatakaa aridie kueneza rushwa but magamba sijui kama wanakomaga hapo wameenda kujipanga upya kutafuta mbinu nyingine maana ya Chupa ya chai na Hoti poti vimedunda.
 
Akiwa anatokea kwenye hotel USA alikutanana na vijana CDM baada yakuweka vijana walinzi usuku kucha Lusinde ndo alitoka na mabokisi manne yenye picha za TV lakini ndani kulikuwa na mabox ya kupigia kura na yamejaa kura zilizopigwa tayari ndipo alipo ng'ang'aniwa na makamanda wa BAVICHA kwani issue waliishtukia jana usiku baada yakutonywa!!Valangati lilikuwa kali mpaka kaumizwa mkono umevunjika ila polisi wamefika katika tukio na kutawanya vijana waliotaka kumla Lusinde Mkuu wakituo alisema hawawezi kuvumilia upuuzi huu wakuiba kura hivyo Lusinde kapandishwa kwenye cruiser nakupelekwa central arusha!!yatakayojili nitawajulisha baadae nafatilia kwakaribu!!
Mkuu, leo ni April 3, 2012. na siku ya wajinga iliisha saa nne asubuhi April 1, 2012. Haya maboksi aliyokamatwa nayo baada ya mshindi kutangazwa....!!!!. Inakuwaje?
 
Back
Top Bottom