Lusekelo: Kawafananisha ma-dr. Wa tanzania na wauaji wa albino!!

Antony Lusekelo a.k.a Mzee wa Upako ni mnafiki mkubwa na yuko kibiashara zaidi kuliko kiutumishi wa Mungu.

Namshangaa Lusekelo kwa kushindwa kuona kiini cha mgomo wa Madaktari wetu. Lusekelo pia sijawahi kusikia anakemea Ongezeko la Posho za Wabunge za kulipwa Tshs.330,000/= Huyu jamaa ni mtaka sifa,mropokaji na mwongo mkubwa. Juzi tu tulisikia akisema amezuia mvua isinyeshe Dar,na ikinyesha ataacha Uchungaji akawe muuza Bangi. Mtumishi wa kweli wa Mungu hawezi kuwa na lugha za kihuni namna ile.

Kwanza yeye kama ni mwaminifu kweli atuambie MAPATO YA KANISA LAKE kutokana na Sadaka na Mafungu ya 10. Kila mtu anajua pale kanisani kawake kila SIKU ANAHUBIRI JUU YA WATU KUWA MATAJIRI. Utasikia washirika wake wakitamba kuwa walikuwa na gari moja sasa wana magari 3 au 4 n.k.Je, ina maana kanisa lake halitaki maskini? Mbona Biblia inasema ni vigumu sana kwa TAJIRI KUINGIA MBINGUNI kama ilivyo vigumu kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano???

Nilishawahi kusikia kuna Mchungajim mmoja hapa Dar anatembelea GARI LA THAMANI YA TSHS. 300 Millioni. Sina uhakika kama ni Lusekelo au ni mwingine lakini yawezekana akawa ni huyu jamaa. Sasa kama wewe mchungaji una gari la bei mbaya kuliko hata Wabunge wa CCM, unaweza kutetea kweli MADAI YA MADAKTARI AMBAYO YAKO WAZI KABISA??

Yeye kama ana utu na ana Upako wa uponyaji kwanini hakusema wale wagonjwa waliotelekezwa na Madaktari wapelekwe kanisani kwake awaombee???

Natilia shaka sana Huduma ya Uchungaji wa Bwana Anthony Lusekelo.
 
Mchungaji yuko sawa na sioni kosa hapo, ni kweli huu mgomo wa madaktari ni sawa na uuaji tu. Watu wanashabikia huu mgomo kwa mtazamo/ushabiki wa kiasiasa zaidi. Sasa ni zaidi ya wiki tangu mgomo uanze nani kanufaika? Wanaokufa na kuteseka ni wengine kabisa hasa wale wasio na pesa ya kwenda private hospital. Acha tuone mwisho wa hii comedy
 
Huyu anatafuta atoke vipi? CCM wameamua kutumia viongozi wa dini kupiga propaganda. Madaktari bingwa Mgomo wenu usikome

huyu lusekelo ni mjinga wa kutafakari, hivi hawa viongozi wanafuja mali za wananchi wakawaacha wananchi wanalia lia na hao madaktari waliogoma wepi ni wauaji?
 
Huyu Lusekelo mbona mwenyewe anatumia uchawi wa Kinigeria kuwapumbaza waumini wake ili wammiminie sadaka kama hawana akili nzuri vile. Kwenye mfuko wa ndani wa koti lake upande wa kushoto ana vidole viwili vya albino vimekaushwa. Ni mchawi tu kama mama Lwakatare,ovyo kabisa .
 
jamani! tumekwisha tanzania hata lusekelo tungetariajia angesema walipwe madai badala ya kuwafanisha na wauaji wa ndugu zetu albino.
 
Mchungaji yuko sawa na sioni kosa hapo, ni kweli huu mgomo wa madaktari ni sawa na uuaji tu. Watu wanashabikia huu mgomo kwa mtazamo/ushabiki wa kiasiasa zaidi. Sasa ni zaidi ya wiki tangu mgomo uanze nani kanufaika? Wanaokufa na kuteseka ni wengine kabisa hasa wale wasio na pesa ya kwenda private hospital. Acha tuone mwisho wa hii comedy

Tufanye wewe ndo ungekuwa daktari, overtime unalipwa 10000 halaf mshahara mbuzi na wakati mwingine unakata hata miezi mitatu hujaupata! Hivi ukienda hospitali kufanyiwa upasuaji halaf daktari mwenyewe ni yule mwenye stress za mshahara na mazingira duni ya kufanyia kazi, akakufanyia upasuaji vbaya na kukusababishia matatizo, utamlaum nan? Jiulze udaktari unachukua muda gani kuusomea? Kama ww unavyouona unyeti wake katika suala zima la uhai wa binadamu basi ungepewa kipaumbele katika suala la posho na mishahara.
 
aliwahi kulalamika kwa serikali kuwatambua na kuwapa pasi za kidiplomasia baadhi ya viongozi wa dini hapa nchini na kuwanyima wengine (akajitolea mfano yeye) pamoja na kwamba ana "congregation" kubwa ya waumini.. mebbe kwa kauli hii anataka ku-justify sababu ya yeye kupewa pasi yenye hadhi ya kidiplomasia.. vinginevyo haingii akilini sababu ya yeye kubwabwaja yale aliobwabwaja.. poor mzee wa upako..:hatari:
 
Mchungaji Lusekelo awaponda
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) lililopo Kibangu jijini Dar es Salaam, Anthony Lusekelo, maarufu kwa jina la Mzee wa Upako amewafananisha na wauaji wa albino madaktari waliogoma wakiishinikiza serikali iwatimizie madai yao.
Lusekelo aliyekuwa akizungumza na waandishi wa habari alisema wanachokifanya madaktari hakina tofauti na watu wanaofanya mauaji ya albino ili wapate fedha zaidi ambazo hazina baraka za Mungu.
Aliongeza kuwa, madai hayo ya madaktari ni sawa na ufisadi zaidi ya ule uliofanyika katika Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje Benki Kuu (EPA).
"Madaktari wanafanya uuaji…. wanawaadhibu wananchi wasio na hatia, wao wanaidai serikali, sasa kwanini wanawaacha wagonjwa wafe ili kushinikiza kupata fedha zao?" alisema.
Aliongeza kuwa madaktari wanatakiwa kufahamu kuwa hicho wanachokidai kitawalazimu wananchi watozwe kodi kubwa jambo ambalo litawazidishia ugumu wa maisha.
Alisema madaktari wanapaswa kumuogopa Mungu na kurejea kazini kwani binadamu wanaishi kwa kutegemeana, hivyo wataalamu hao wasijione ni muhimu kuliko watu wengine.
Mchungaji Lusekelo alisema madaktari wamefanya dharau kubwa kukataa kuonana na waziri mkuu kuzungumzia madai yao.

SOURCE: TANZANIA DAIMA

My take: Tapeli mkuu huyu anayetumia jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo,kuwatapeli watanzania ana usafi wowote wakuwakoromea Ma-Dr. wetu kwa kuwalinganisha na wauji wa Maalbino? Au ndo janja ya agent wa Shetani huyu kutafuta kulindwa na serikali ya magamba?
So madaktari ndiyo wenye uwezo pekee wa kutatua mgogoro, what a pathetic man! Angekaa kimya tu, aangalie tofauti ya kipato anachojilipa yeye na kile cha wafasnya kazi wake kwanza
 
Itabidi haya makanisha yanayomilikiwa na watu binafsi waanze kulipa kodi ili wajue ugumu wa maisha.
Haiwezekani wewe unaendesha range rover kwa sadaka za watu maskini af Daktari analipwa hela ya ajab huu ni upuuzi.
 
JF imekuwa ni sehemu yakuonesha hasira zenu, ambayo Imeandikwa kuwa hasira ya kibinadamu isiyojenga.

Msimuhukumu A. LUSEKELO JAPO ANAYO MAKOSA WAPO WATU NI DARAJA KUWA KUPITIA WAO WATU WATAOKOLEWA NA KUUONA UFALME WA MUNGU ILA WAO HAWATAUONA IMEANDIKWA MSIWAHUKUMU WATU ILA MUWAFUNDISHE.

Kuhusu madoctor Kugoma huo ni uasi mkubwa wakumkufuru Mungu kwakujali tamaa na raha zao, Imeandikwa ukimpa chakula mtu akala akashiba bila kujali njaa yako utabarikiwa.
Maana huo ni UPENDO aliouagiza Mungu.

Hapa ndipo nagundua Hatuna upendo wa kutoa kwa umoja kama Mungu Imeandikwa tumeumbwa kwa mfano wake ila hatufanyi yaliyo mapenzi yake kati yetu ndo maana twasupport uasi huu.

Lakini watu waMUNGU hatuogopi maama tumaini letu Ni katika KRISTO YESU ALifundisha kuwa tunahitaji ushind katika vita (matatizo) ila vita hii tusipambane kwa damu na nyama bali maombi tu. Nasi tukimtumainia Yesu tutapata yote.
 
Aah! Aah! Maharagd yanazi unataka kuchachuka ? Mponyaji ni Mungu pekee. Sema yeye anakaexperience fulani. Ila anachojjarib kusema kuhusu mgomo yuko sawa kabisa doctors ni wauaji hawana upendo kabisaaa.
 
Mchungaji Lusekelo awaponda
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) lililopo Kibangu jijini Dar es Salaam, Anthony Lusekelo, maarufu kwa jina la Mzee wa Upako amewafananisha na wauaji wa albino madaktari waliogoma wakiishinikiza serikali iwatimizie madai yao.
Lusekelo aliyekuwa akizungumza na waandishi wa habari alisema wanachokifanya madaktari hakina tofauti na watu wanaofanya mauaji ya albino ili wapate fedha zaidi ambazo hazina baraka za Mungu.
Aliongeza kuwa, madai hayo ya madaktari ni sawa na ufisadi zaidi ya ule uliofanyika katika Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje Benki Kuu (EPA).
"Madaktari wanafanya uuaji…. wanawaadhibu wananchi wasio na hatia, wao wanaidai serikali, sasa kwanini wanawaacha wagonjwa wafe ili kushinikiza kupata fedha zao?" alisema.
Aliongeza kuwa madaktari wanatakiwa kufahamu kuwa hicho wanachokidai kitawalazimu wananchi watozwe kodi kubwa jambo ambalo litawazidishia ugumu wa maisha.
Alisema madaktari wanapaswa kumuogopa Mungu na kurejea kazini kwani binadamu wanaishi kwa kutegemeana, hivyo wataalamu hao wasijione ni muhimu kuliko watu wengine.
Mchungaji Lusekelo alisema madaktari wamefanya dharau kubwa kukataa kuonana na waziri mkuu kuzungumzia madai yao.

SOURCE: TANZANIA DAIMA

My take: Tapeli mkuu huyu anayetumia jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo,kuwatapeli watanzania ana usafi wowote wakuwakoromea Ma-Dr. wetu kwa kuwalinganisha na wauji wa Maalbino? Au ndo janja ya agent wa Shetani huyu kutafuta kulindwa na serikali ya magamba?

anataka sifa kwa serikali hajui analoliongea huyo achana naeeeeeeeee
 
Aah! Aah! Maharagd yanazi unataka kuchachuka ? Mponyaji ni Mungu pekee. Sema yeye anakaexperience fulani. Ila anachojjarib kusema kuhusu mgomo yuko sawa kabisa doctors ni wauaji hawana upendo kabisaaa.

serikali yetu ndio wauwaji wakubwa si madaktari
 
]kama lusekero ana uchungu na maisha ya watanzania wanaokosa huduma ya afya pale muhimbili basi auze mali zake zote yakiwemo magari ya kifahari, nyumba na mashamba yake kisha awape wagojwa hizo hela wakatibiwe private kwanza ni zambi kumwambia mwenzako muuaji je yeye ni msafi kiasi gani?
 
Back
Top Bottom