Lundenga wa Miss Tanzania awaomba radhi watanzania

FF, unajua kuna ambao wanadhani mambo unayoyaamini ama kuyafanya ww kuwa ni ya kishetani? stop this holier than thou attitude,u ar better than that! heshimu matakwa na utashi wa watu tofauti. i dont blv in these beauty contests,im beautiful in my own ways bt i dont care abt what others blv in!

You are simply a careless person, you should start to care about others to be able to make a difference let alone "THE" difference.
 
FF na wengine,

Lino, Lundenga, VTL, Bint Makamba and all their team have no morals. Huu ni utetezi na si kuomba radhi. Binafsi sijawahi kuona cha maana katika hicho kinachoitwa Miss Tanzania. Lino hawawezi kuhalalisha utovu wao wa nidhamu kwa kuwataja wengine. Vipi kama angekufa mkuu wa nchi na wote tukafahamu ila tu taarifa rasmi ikatolewa jumamosi mchana?

Ninachoona hapa VTL are indeed in deep shit. Watu wao wa marketing and PR should have seen this coming. Salvaging their household image will be really costly.

CSR & PR yao sijui ilishikwa wazimu gani.


I agree with you totally.
 
Huyo Lundenga mnaulumu bure ni mganga njaa, wenyewe ni mabaniani, toka lini baniani akawa na huruma? Na huyo Lundenga anaona kuwaudhi mabosi ni kosa, ni mtumwa tu huyo haachi asili yake.
 
Bora asinge omba radhi, huwezi kufananisha Miss Tz na mpira, halafu haya mashindano yaitwe Miss Lundenga sio Miss Tanzania maana yamekosa utaifa.
 
kweli kabisa. Tatizo watu wameacha kufikiria SUMATRA walikuwa wapi wakati meli inaondoka wao wanashikilia lundenga, wapi na wapi? Lundenga ndie chanzo au? :(

Naomba kueleweshwa, Je , hii mamlaka inanguvu za kisheria kusimamia meli Zanzibar?
 
Jaman 2ache lawana zczo na msing! Hv cku hy y jmoc, n Vodacom pekeyao ndo waliendlea na hlo zoez, vp wananch wengne wote walikaa majumban kwao kuomboleza!? Makampuni, maofc n biashara nyngn zote zlfungwa!? Achen hzo.
 
Ukipelekwa mahakamani kwa kosa la kuu kuua. Utasema mbona fulani naye aliua lakini hamkumkamata.
 
Ukiandaa tafrija ya harusi kwa mfano. halafu mzazi wako akafa siku moja kabla ya ya tukio....utaendelea na sherehe kisa umetumia gharama nyingi hivyo unaogopa hasara?

Lundenga wa Miss Tanzania ataendelea na sherehe!!!
 
Back
Top Bottom