Lunar Eclipse Live

Eqlypz

JF-Expert Member
May 24, 2009
4,065
632
Hii kitu inaonekana sasa hivi live au unaweza kuiona kwenye youtube live kwenye channel ya google. YouTube - ‪Google's Channel‬‏
au http://eclipse.slooh.com/
6a00d8341c630a53ef01543308f001970c-600wi
 
mkuu hii picha si wameonesha tu jinsi itakavyokuwa, kwasasa hajabadilika kuwa mwekundu.ngoja niweke picha nilizopiga kwa camera yangu yenye 10.1 megapixels
 
kwa bahati mbaya network iko taratibu sn...inakataa kuatach..ikiwa sawa ntakuwekeeni
 
jamani kwani kuna nini tena imefanyaje hiyo luner eclipse??????? sijaelewa kitu hapa bado,,,
 
Wakuu samahanini sikuweka maelezo zaidi kuhusiana na hiyo picha ambayo ilikuwa ni mfano wa jinsi hiyo Lunar Eclipse ilivyo.
 
Nilibahatika kuona with my naked eye... kwa alie ona it was beutiful...
Ni kama vile sayari nyingine ilikua close to mother earth... I wished ningekua na a
qualified camera nipige we my eye...
 
Back
Top Bottom