Lulu na Gigy Money ndani ya mtifuano

LULU.jpg

MASTAA wawili wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Gift Stanford ‘Gigy Money’ wamejikuta wakiingia kwenye mtifuano mkali baada ya kutoleana maneno machafu.

Ishu ilianzia kwa Gigy ambaye alisema mwanadada Lulu hajui kuvaa, huwa anavaa matangazo, hii ni baada ya kuulizwa na kituo kimoja cha runinga kwamba ataje mastaa kumi wanaojua kuvaa.
Lulu aliamua kumjibu kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa Instagram kuwa bora asijue kuvaa lakini hawezi kuvaa matambara kama yeye.

“Gigy alikasirishwa sana na kitendo cha Lulu kumwambia anavaa matambara alijikuta akipaniki na yeye akaendelea kushilikilia msimamo kwamba anavaa nguo za matangazo hivyo ni bora yeye anayevaa matambara anayonunua mwenyewe kuliko yeye,” kilisema chanzo.

Gigy alipoulizwa kulikoni, alisema amekasirishwa sana na kitendo cha Lulu kumwambia anavaa matambara wakati yeye alizungumza kama anavyoona kwani mavazi anayovaa hayaendani na mazingira.

maxresdefault.jpg

“Matambara ni ya kwangu na haya ni maisha yangu siyo yeye anayevaa nguo za matangazo eti anajiona naye anavaa maana naona Lulu ameunda na kampeni na makundi kwa ajili ya kunishambulia, mimi ni jeshi la mtu mmoja hawaniwezi,” alisema Gigy Money.

Source: Tanzania Today
Source:Tanzania Today mhmhmh udaku kila mahali siku hizi.
 
Wajifunze kwanza kukatikia dudu
 
Sio vema kumshambulia Elizabeth Michael aka Lulu,huyo ni mpwa wangu na usemayo yote ni uongo sababu mpwa ana fedha kedekede na ana mijumba kibao na mibiashara kibao na mzuri kwa kila kitu,.,.,, eti ooh ana madeni kibao madukani,.,.,looh ama wanawake kwa kuoneana wivu hajambooo.
Acha hizoo kama chupi inakubana mimi mpwa wake nitakuhudumia mahitaji yoote ya kike,wewe uni pm na mimi nitakupa huduma zoote kuhudumia uchi wako au vipi?
 
Ila gigy anavaa madekio kabisa tena yenye kiwango cha lami, yamevuka levo za matambara
 
Back
Top Bottom