Lulu Mahakamani: 23rd April 2012

attachment.php
 
si kweli,huyu binti huwa ana kitumbo cha obesity kwa asili,thou refer her face book photos for references.
 
Niliona na mie nikahisi hivo hivo....eee Mungu muonee huruma mtoto huyu mfanyie muujiza asafishwe maana anatabiika na kama ni kujifunza atakuwa kashajifunza
 
Baada ya kuona picha zake mahakamani leo, nina wasiwasi Lulu alikuwa anagombana na marehemu kuhusu nani kamtia mimba! :eek:hwell:
 
eti wadau mbona ndugu yang alipelekwa kizimbani na ka-askari kamoja tena kalikokuwa kamejichokea,inakuaje haka kamalaya kanapelekwa na kituo kizima cha police?afu bongo ilivyo ya mapoyoyo utaona kesi itakavyopigwa tarehe mpaka wabongo 2sahau!
 
eti wadau mbona ndugu yang alipelekwa kizimbani na ka-askari kamoja tena kalikokuwa kamejichokea,inakuaje haka kamalaya kanapelekwa na kituo kizima cha police?afu bongo ilivyo ya mapoyoyo utaona kesi itakavyopigwa tarehe mpaka wabongo 2sahau!

huyo ndugu yako tuliwahi kuandika habari zake hapa? usifananishe usingizi na kifo
 
Hata mimi namwonea huruma, lol kuwa mzazi ni kazi kweli kweli
unaona uchungu kama siku ya kuzaa, lol.
 
Ni nini sababu ya kumuwekea ulinzi mkali namna hii ?</SPAN>
Wakati hata hajapitia mafunzo ya Kijeshi.</SPAN>
Hana Silaha za kivita </SPAN>
Lakini police wamejaa ,wanadhani atatoroka?

Mungu amsaidie .na kweli ionekane</SPAN>
 
Dogo namuonea huruma sana maana mpaka achomoke, atakuwa amechoshwa na hii mwendo ya kesi mpaka akome.
 
Mungu ni mwema hayo ni mapito tu, tuwe na huruma kwa mtoto kama huyu, je angkuwa mwanao au nduguyako ingekuwaje, tuwe na moyo wa msamaha jamani,
 
Ni nini sababu ya kumuwekea ulinzi mkali namna hii ?
Wakati hata hajapitia mafunzo ya Kijeshi.
Hana Silaha za kivita
Lakini police wamejaa ,wanadhani atatoroka?

Mungu amsaidie .na kweli ionekane

Presha ya media FirstLady1,
Wanamlinda yeye (Lulu) dhidi ya media/jamii (gharama za umaarufu).
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom