Lulu Mahakamani: 23rd April 2012

Tanzania, Tanzania, Tanzania.......! Sasa haka kajitu ndo kanapewa escort ya namna hii!!!!! Huu ni ushenzi na upumbavu. alafu umaarufu wake ni nini!!!!! Tusipoacha upuuzi huu basi sote tutakuwa viazi

mafisadi wanapelekwa mahakamani kawaida ila aka kajitu ndo kanafanyiwa hivi? Hapa kanumba atatendewa haki. na yawezekana kanalala kwa J au R.
 
Tanzania, Tanzania, Tanzania.......! Sasa haka kajitu ndo kanapewa escort ya namna hii!!!!! Huu ni ushenzi na upumbavu. alafu umaarufu wake ni nini!!!!! Tusipoacha upuuzi huu basi sote tutakuwa viazi

mafisadi wanapelekwa mahakamani kawaida ila aka kajitu ndo kanafanyiwa hivi? Hapa kanumba atatendewa haki. na yawezekana kanalala kwa JM au RK.
 
Du anatia huruma japo ni mapito tu ambayo yanakuwa kama fundisho katika kujifunza njia iliyo sahihi kwani alikuwa anapotea
 
Nimependa Mawakili walivyomshauri toka Mwanzo:

1. Dressing Code ionyeshe kuwa kabadilika kitabia na innocent tena under 18.

2. Uso lazima uonyeshe kuwa inatia huruma saaaaana ili public iweze ku-symphathize naye.

Big up naona hili limeanza kufanikiwa taratibu. hasira za Public zinapungua. I hope hata wazee wa baraza watamwonea huruma!

Yes, she is innocent! Yes she is under 18, Yes she has transformed! Afterall machungu ya Kanumba yameanza kupungua na kishaanza kusahaulika.

Is that correct?
 
attachment.php


attachment.php



attachment.php



attachment.php


attachment.php
Mweee,haka katoto hata kangemsukuma John Sena angekufa,haka katoto katamu mwayego natamani ningekuwa nacho sero moja!!!
 
...sasa na hilo karandinga nalo ni lulu?

hako katoto mbona kana mimba?...au segerea pamempenda?...
 
...........Pole yake, dila na ushungi kaujua. Ama kweli ulimwengu unamfundisha sasa.
Hilo tumbo sidhani kama ni mimba, huyu tokea zamani tumbo lake lilikuwa kubwa.
Kama ni mimba haifichiki, ipo siku itajulikana.
 
Huyo baba Mtu hayupo kwenye orodha ya wale wanaoruhusiwa kwenda kumuona Segerea..
 
Back
Top Bottom