nkondola amon
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 365
- 65
Soma kwanza vzuri amesema alidhani atapewa uwaziri mkuu baadae akashauriwa aache kugombea ubungeNimesoma mpaka hapo uliposema Membe alitegemea kupewa uwaziri mkuu nikagundua wewe ni mnafiki na muongo wa kutupwa na huenda hata katiba ya nchi huijui. Waziri mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa jimboni sasa Membe angewezaje kutegemea ateuliwe kuwa waziri mkuu wakati hakugombea ubunge? Baada ya kuona uzushi huu hata sikuendelea kusoma zaidi. Wadanganye wasiojua katiba