Huyu Ndugu muda mrefu alikuwa NBAA.Je anacheti gani cha uhasibu,ACCA au CPA?Tupeni CV wadau!
kuna mtu amekujibu vizuri tu kule kwenye thread inayomwongelea "dr" aisha kigoda. Haukuridhika?
Yamekuwa hayo tena! Jibu umepewa lilelile tena. Nisamehe. Nilidhani thread inayoandikwa humu ni lazima iwe na jipya.WILDCARD hapa ni free media,kama wewe hupendi watu kuuliza details za viongozi wetu,naomba usome UHuru na Mzalendo,au usome blogu ya Michuzi!
Huyu Bwana ni Registered Industrial Accountant (RIA),ikiwa ni certification ya CANADA na pengine yu bora zaidi ya waliomtangulia kiutendaji na kitaaluma
Hiki cheti kipo daraja moja na CIMA,ACCA & CPA.
Tusisahau bwana L Utoah alikuwa msajili NBAA isingekuwa rahisi kushika wadhifa huo wakati sifa zake zikiwa na shaka.