Ludovick Utoh-Controller and Audit General

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
Huyu Ndugu muda mrefu alikuwa NBAA.Je anacheti gani cha uhasibu,ACCA au CPA?Tupeni CV wadau!
 
Huyu Ndugu muda mrefu alikuwa NBAA.Je anacheti gani cha uhasibu,ACCA au CPA?Tupeni CV wadau!

Kwa vile huyu ni mteule wa rais, appointment powers za rais zinamruhusu kumteua mtu yoyote, kushika madaraka yoyote bila ya kumhitaji huyo mtu kuwa na sifa zozote. Hivyo inawezekana huyo utou hana cheti chochote, hajasoma popote pa maana na huko NBAA, aliwekwa kama alivyowekwa CAG.Jee kuna tatizo lolote hapo?.
 
Sasa naona tunapotoka, weledi wa ndugu Ludo hauna shaka yoyote! Ngoja nikutafutie link moja kwa manufaa yako na wenzako msiopenda kutafuta details na kusoma na kuja na thread za ajabu ajabu jamvini!!
 
Pasc,CAG hii sio kama Mkuu wa wilaya au mkoa.Ni profession,anatakiwa ajua accounting!Tumeona BOT ufisadi,na matumizi mabaya ya fedha serikalini.Kama hatajua kusoma accounts,will be the shame.Nafikiri watu wa NBAA watatupa CV yake
 
Huyu Bwana ni Registered Industrial Accountant (RIA),ikiwa ni certification ya CANADA na pengine yu bora zaidi ya waliomtangulia kiutendaji na kitaaluma
 
Kuna mtu amekujibu vizuri tu kule kwenye thread inayomwongelea "Dr" Aisha Kigoda. Haukuridhika?
 
WILDCARD hapa ni free media,kama wewe hupendi watu kuuliza details za viongozi wetu,naomba usome UHuru na Mzalendo,au usome blogu ya Michuzi!
 
WILDCARD hapa ni free media,kama wewe hupendi watu kuuliza details za viongozi wetu,naomba usome UHuru na Mzalendo,au usome blogu ya Michuzi!
Yamekuwa hayo tena! Jibu umepewa lilelile tena. Nisamehe. Nilidhani thread inayoandikwa humu ni lazima iwe na jipya.
 
Huyu Bwana ni Registered Industrial Accountant (RIA),ikiwa ni certification ya CANADA na pengine yu bora zaidi ya waliomtangulia kiutendaji na kitaaluma

Hiki cheti kipo daraja moja na CIMA,ACCA & CPA.
Tusisahau bwana L Utoah alikuwa msajili NBAA isingekuwa rahisi kushika wadhifa huo wakati sifa zake zikiwa na shaka.
 
ludovic utouh ni mtaalamu sana wa accounts amewahi kuwa mwl. pale mzumbe university then akaenda nbaa kabla ya kuteuliwa kuwa CAG ni mchapa kazi sana na matunda ya kazi zake sasa hivi yanaonekana hasa kwa kaguzi kwenye mashirika ya umma tunaona anavyogundua uozo bot na tanesco.
aidha pia mchango wa ofisi yake katika kaguzi za hesabu za halmashauri za wilaya si haba ameongeza accountability ya fedha za umma angalia bagamoyo juzi viongozi wametimuliwa baada ya cag kugundua wizi wa 900mls, tafadhali tumpe heshima muungwana huyu.

bravoo mzee utouh ludovic.
 
Hiki cheti kipo daraja moja na CIMA,ACCA & CPA.
Tusisahau bwana L Utoah alikuwa msajili NBAA isingekuwa rahisi kushika wadhifa huo wakati sifa zake zikiwa na shaka.

Msajili wa kwanza wa NBAA alikuwa Bwana Shabani ambaye hakuwa mhasibu. Hilo utasemaje!

macinkus
 
Ngongo,may be RIA ni old fashioned.Katika kazi zote zinazotangazwa international hasa kwenye english speaking countries,,Accountant lazima uwe na CIMA,CPA, CA au ACCA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom