Lucy Nkya (Naibu Waziri wa zamani) arushiana risasi na mwanae

Jamani kwa wanaomjua huyu mama hata hii bunduki hajui inashikwaje mana hata muvi sijui kama anaangaliaga tuseme labda kajifunzia umo.......mtoa mada umetumwa nini manina zako.....na uyo jonas hana jeuri iyo mana maisha yake yote kashikilia mamake sasa hw can he shit on the palm that feeds him........
 
Mficha MARADHI KIFO kitamuumbua!

Kwa jinsi ninavyomfahamu iko siku tu Jonas atamua mama yake (Dr Nkya)

Muacha mama aendelea kukumbatia MOTO wakati tayari MOSHI unafuka.

Iko siku mtakuja kunieleza ulifahamuje kuwa Jonas atamua mama yake?! It is only a matter of time. Tegeni macho na masikio.
 
Jamani kwa wanaomjua huyu mama hata hii bunduki hajui inashikwaje mana hata muvi sijui kama anaangaliaga tuseme labda kajifunzia umo.......mtoa mada umetumwa nini manina zako.....na uyo jonas hana jeuri iyo mana maisha yake yote kashikilia mamake sasa hw can he shit on the palm that feeds him........

Wewe malkia Wa Kikurya umekeketwa nini? Unabisha nini sasa? Mwenyewe kasema bastola ilidondoka ikajifyatua sasa unachobisha ni nini? Sasa kwa akili nyepesi tu, bastola inafyatuka tu bila ya kutoa lock? Bastola inafyatuka bila kuruhusu risasi kuingia kwenye chamber? Lazima alimtishia mamake, tungekuwa na jeshi la polisi lililoshiba maadili ukweli ungejulikana mapeeeema!!! Lakini sasa watapotezea!
 
shida ya nchi yetu ni ukoloni tumeona hata police wetu wanapimwa urefu baada ya kupimwa akili kama zilifyatuka kwa bahati mbaya inaku.waje na ya mtoto
 
umeambiwa jamaa ni tapeli wa magali morogoro, pia ni MNEC, sasa unabisha nini?

Tunaomfhmu jonasi nkya tunawashangaa, jonas ni lecture mzumbe university pia ni mwanasheria wa kujitegemea kisiasa ni mjumbe wa nec na kibiashara ni mfanyabiashara mkubwa wa magari wa muda mrefu hapa morogoro, hayo masuala ya utapeli ni upinzani wa kumchafulia jina kibiashara kwakuwa hapa morogoro jonas ndiye aliyekuwa muagizaji na muuzaji mkubwa wa magari so kuna wafanyabiashara wengine wapinzani wake wakabuni njia za kumchafua kwa kumwita tapeli, kingine kikubwa zaidi kinachofanya wamchafue jonas nkya yeye ndiye kiongozi wa kampeni za lowasa kusaka u rais ktk mkoa wa morogoro hii ndo maada kuu.
 
Haya mambo unayatetea tu! kumbe biashara ya magari keshafanya? kuna mahusiano hapo! kama liacha na kuwa mtu mwema atubu mbele za watu ili wajue!
 
Silaha ilikuwa kiunoni ikaanguka halafu ikafyatua risasi mbili!!! Ilikuwa Chember? How?... Maelezo ya kina yanahitajika hapa ...
 
Mwenyewe inasemekana kasema zimefyatuka bahati mbaya sasa we unakanusha nini tena??!??

humu jf watu wameaminishwa uongo kwamba Jonas ni tapeli hili swala ndilo ninalo lipinga hasa. Jonas amekuwa mwaminifu in business issue. Angekuwa mraghai wengi wangekufa kwa presha. Anachukia dhuruma na waga anapenda watu wawe waaminifu. Pia anaamini sana watu. Ukiona Jonas hakuamini ujue una matatizo wewe. Si issue ya kumchafua kwa masrai furani furani. I believe that its accidentally
 
Haya mambo unayatetea tu! kumbe biashara ya magari keshafanya? kuna mahusiano hapo! kama liacha na kuwa mtu mwema atubu mbele za watu ili wajue!

Nafikiri Wewe ni kilaza sana Jonas atubu kwa fasiri ipi? Maelezo yametolewa kuonyesha wema wa Jonas na kwamba ni mbimu chafu za kumchafua. Atubu nini , ili iweje
 
Jonas Mme mwandama vya kutosha.Ifikie wakati watanzania muwe wa kweli na mtu kama Jonas mumuelezee kwa mazuri yake siyo kwa mabaya ya kubuni.
 
humu jf watu wameaminishwa uongo kwamba Jonas ni tapeli hili swala ndilo ninalo lipinga hasa. Jonas amekuwa mwaminifu in business issue. Angekuwa mraghai wengi wangekufa kwa presha. Anachukia dhuruma na waga anapenda watu wawe waaminifu. Pia anaamini sana watu. Ukiona Jonas hakuamini ujue una matatizo wewe. Si issue ya kumchafua kwa masrai furani furani. I believe that its accidentally

hizi issue zinakidhana na maelezo yako
1. Kuuza nyumba ya dada yake masika
2. Kwenda kwa waganga
3. Kutapeli wateja magari
4. Kutohudhuria sendoff ya dada yake na kwenda club
mficha maradhi kifo umuumbua malipo ni hapa hapa dunia mke kashasepa,yeye na nduguze wote hawaelewani kisa mali
 
Back
Top Bottom