Lucy Nkya (Naibu Waziri wa zamani) arushiana risasi na mwanae

Hebu vijana mliopitia jkt tuambieni risasi inaweza kutoka kwenye mguu wa kuku bila kukokiwa au kutekenya trigger?
tena risasi 2, inashangaza sana eti bastola imedondoka bahati mbaya ikafyetua risasi 2, inawezekana kweli?????:laser::confused2::peep::fencing:
 
out of discussion.

Duh! Magamba kweli haziwatoshi. Hivi kweli hii mifumo yetu iko sawasawa kweli wajameni? How comes mtu kama huyo aliweza kupanda ngazi hadi kufikia ngazi ya uwaziri? Hivi watu wanakuwa vetted kuangalia angalau background zao, tabia zao, n.k. for the national interest!

Vyombo husika vingekuwa serious wala kashfa za akina Miss Tanzania wa mwaka huu zisingefikia hapo zilipo; alitakiwa aenguliwe katika hatua za awali. Leo hii tumeambiwa jamaa mmoja naye kateuliwa kuwa balozi wa taifa hili huko ng'ambo; sijui kama vetting ilifanyika vya kutosha simply kwa sababu "anazo".

Nasikia pia kuna Mh. mmoja naye siku hizi hawezi ku-attend majukumu yake ipasavyo simply kwa sababu anategemea kupata baby muda wowote kuanzia sasa! Hivi kama bado yuko kwenye umri huo ilikuwa lazima kumteua kwenye nafasi hiyo ambayo kimsingi anakula tu mshahara na posho bila kufanya kazi iliyotarajiwa?
 
kama walisha mzezeta mzee nkya bac hio itakua ni laana ya mwenyez mungu, hapo hacra ya mungu isha waka!
 
1012265_629132087197769_6175722140987142450_n.jpg

Mia
 
Update:
Jonathan Nkya amesema hakuna kitu kama hiko,risasi ilitoka kwa bahati mbaya na si kurushiana na mama yake,na yeye ameshangaa kuona hizi habari jamii forums kwamba amerushiana risasi na mama yake wakati mama yake wala hawakuwa nae.

Kujikanyaga huku kunamaana
kwanza kakanusha kabiaa

mara hihii anadai bahati mbaya

Baadae atasema alikuwa anatest tu bastola yake.
 
Hapo Magamba yashazidiana hela za kifisadi, Na bado yatwangane tuu! hata Riz akimtwanga baba ake umma utafurahi sana!

halafu yawe yanakufa kabisa!
 
Kufuatia taarifa zilizozagaa mjini morogoro na kuripotiwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa mbunge wa jimbo la morogoro kusini, Dk Lucy Nkya na mwanaye Jonas Nkya ambaye ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa kupitia vijana, kurushiana risasi kwenye ofisi yao binafsi ya faraja trust fund, watu hao wawili wamekanusha madai hayo na kudai -yameleta athari kubwa katika familia yao.

Awali taarifa zilizojitokeza na baadaye kurushwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, ilikuwa ni mama huyo aliyewahi kuwa naibu waziri wa afya, na mwanaye ambaye ni mjumbe wa NEC akiwakilisha vijana, kurushiana risasi kwa kugombea nyumba iliyotaka kuuzwa jijini Dar es salaam, hali iliyofanya ITV kumtafuta -kamanda wa polisi mkoa wa morogoro Leonard Paulo ambaye kwa njia ya simu amekiri tukio la mlio wa risasi kujitokeza katika ofisi za faraja, lakini mazingira yake hawezi kuzungumzia hadi arudi ofisini, kwavile alikuwa safarini.
-
Hata hivyo Jonas Nkya alipopatikana amekanusha madai hayo na kwamba kilichojitokeza ni kuanguka kwa bastola yake iliyokuwa kiunoni, baada ya kwenda -ofisi za faraja kubadilisha gari kwaajili ya kwenda shamba, ambapo ilijifyetua risasi mbili na kutoa mlio uliosababisha baadhi ya watu kusogea eneo hilo na kwamba kama kungekuwa na ugomvi wa kifamilia, ungefanyika nyumbani kwao ambapo yupo kwa sasa, akimsaidia mama yake kumuuguza baba yake Prof Nkya,ambaye amepooza, madai ambayo yameungwa mkono na mama yake mzazi ambaye naye amehojiwa katika ofisi za faraja, baada ya kukutwa akiendelea na majukumu yake. Mia

Chanzo: ITV
 
Duh! Magamba kweli haziwatoshi. Hivi kweli hii mifumo yetu iko sawasawa kweli wajameni? How comes mtu kama huyo aliweza kupanda ngazi hadi kufikia ngazi ya uwaziri? Hivi watu wanakuwa vetted kuangalia angalau background zao, tabia zao, n.k. for the national interest!

Vyombo husika vingekuwa serious wala kashfa za akina Miss Tanzania wa mwaka huu zisingefikia hapo zilipo; alitakiwa aenguliwe katika hatua za awali. Leo hii tumeambiwa jamaa mmoja naye kateuliwa kuwa balozi wa taifa hili huko ng'ambo; sijui kama vetting ilifanyika vya kutosha simply kwa sababu "anazo".

Nasikia pia kuna Mh. mmoja naye siku hizi hawezi ku-attend majukumu yake ipasavyo simply kwa sababu anategemea kupata baby muda wowote kuanzia sasa! Hivi kama bado yuko kwenye umri huo ilikuwa lazima kumteua kwenye nafasi hiyo ambayo kimsingi anakula tu mshahara na posho bila kufanya kazi iliyotarajiwa?

Boya kweli ww kijana kwa hiyo watu wasipate mimba wachepuke kama wabunge wengine sio? Wengine wanajiheshimu bwana na hayo ndio maumbile ya wanawake, musitake kuiga uzungu
 
wamemfanya mzee zezeta ili wapate ustawi katika siasa na biashara matokeo yake wameishia kufarakanisha familia.watoto hawaelewani,biashara zimebuma,na upepo wa siasa nao mmemkalia mama vibaya,faraja trust inapumulia mashine madeni ndo wimbo

Safi sana dawa ya moto ni moto
 
Back
Top Bottom