nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,613
mkuu ipoje sasa?jaman siasa zisiwatie wazimu hii kitu si kwel na wala haipo
mkuu ipoje sasa?jaman siasa zisiwatie wazimu hii kitu si kwel na wala haipo
tena risasi 2, inashangaza sana eti bastola imedondoka bahati mbaya ikafyetua risasi 2, inawezekana kweli?????:laser::confused2:eep::fencing:Hebu vijana mliopitia jkt tuambieni risasi inaweza kutoka kwenye mguu wa kuku bila kukokiwa au kutekenya trigger?
Duh! Magamba kweli haziwatoshi. Hivi kweli hii mifumo yetu iko sawasawa kweli wajameni? How comes mtu kama huyo aliweza kupanda ngazi hadi kufikia ngazi ya uwaziri? Hivi watu wanakuwa vetted kuangalia angalau background zao, tabia zao, n.k. for the national interest!
Vyombo husika vingekuwa serious wala kashfa za akina Miss Tanzania wa mwaka huu zisingefikia hapo zilipo; alitakiwa aenguliwe katika hatua za awali. Leo hii tumeambiwa jamaa mmoja naye kateuliwa kuwa balozi wa taifa hili huko ng'ambo; sijui kama vetting ilifanyika vya kutosha simply kwa sababu "anazo".
Nasikia pia kuna Mh. mmoja naye siku hizi hawezi ku-attend majukumu yake ipasavyo simply kwa sababu anategemea kupata baby muda wowote kuanzia sasa! Hivi kama bado yuko kwenye umri huo ilikuwa lazima kumteua kwenye nafasi hiyo ambayo kimsingi anakula tu mshahara na posho bila kufanya kazi iliyotarajiwa?
Alieleta huu uzi atakuwa mtoto wa nje wa Prof Nkya
Update:
Jonathan Nkya amesema hakuna kitu kama hiko,risasi ilitoka kwa bahati mbaya na si kurushiana na mama yake,na yeye ameshangaa kuona hizi habari jamii forums kwamba amerushiana risasi na mama yake wakati mama yake wala hawakuwa nae.
my classes take people from all levelspamoja na Bunge kufundisha `range', bado tu hawa wabunge hawana shabaha. Slow learners
Kuna majeruhi... Tuwapigie watu wa Ambulance?
Duh! Magamba kweli haziwatoshi. Hivi kweli hii mifumo yetu iko sawasawa kweli wajameni? How comes mtu kama huyo aliweza kupanda ngazi hadi kufikia ngazi ya uwaziri? Hivi watu wanakuwa vetted kuangalia angalau background zao, tabia zao, n.k. for the national interest!
Vyombo husika vingekuwa serious wala kashfa za akina Miss Tanzania wa mwaka huu zisingefikia hapo zilipo; alitakiwa aenguliwe katika hatua za awali. Leo hii tumeambiwa jamaa mmoja naye kateuliwa kuwa balozi wa taifa hili huko ng'ambo; sijui kama vetting ilifanyika vya kutosha simply kwa sababu "anazo".
Nasikia pia kuna Mh. mmoja naye siku hizi hawezi ku-attend majukumu yake ipasavyo simply kwa sababu anategemea kupata baby muda wowote kuanzia sasa! Hivi kama bado yuko kwenye umri huo ilikuwa lazima kumteua kwenye nafasi hiyo ambayo kimsingi anakula tu mshahara na posho bila kufanya kazi iliyotarajiwa?
Sasa Si Wangeuana Tu Ili Tupunguze Idadi Ya Population Tanzania!
Huyu mwanae ni tapeli maarufu hapo morogoro.anajishuhulisha na udalali wa magari.
wamemfanya mzee zezeta ili wapate ustawi katika siasa na biashara matokeo yake wameishia kufarakanisha familia.watoto hawaelewani,biashara zimebuma,na upepo wa siasa nao mmemkalia mama vibaya,faraja trust inapumulia mashine madeni ndo wimbo
Tobaaaa yaani dalali amekuwa mwenyekiti wa uvccm,only in tanzania.
Wanagombea nini tena?kama ccm kuna vita vya wenyewe kwa wenyewe iweje kinana ashindwe kusuluhisha kama sudani kusini?