Lowassa, Sumaye na Safari wawafunda Wabunge CHADEMA jinsi ya kukabiliana na mizengwe ya CCM Bungeni

Ai milioni 10 tu mkuu. Ni milioni 15 kwa kila mbunge wetu! Fedha tunayo. Wacha tuitumie
Kweli naona mnatumia kwenye kuwakosesha wanafunzi mikopo kukosesha dawa na Kutojenga viwanga.. Mwinyi Tanzania inaendeshwa kama gari lililokosa usukani
 
Muswada was vyombo vya habari ni kwa wazee? Muswada was vyombo vya habari ni chadema? Muswada was vyombo vya habari ni kwa ccm? Kweli? Ninachojua, muswada huu ni wa watanzania. Si wa chama fulani. Si wa wanachama wa chama fulani cha siasa. Tunataka muswada utakaokuwa sheria nzuri. Basi.
 
Wazee walikuwa zamani, hawa wa leo wamebeba tu Mvi vichwani ndani ni makopo matupu.
 
Muswada was vyombo vya habari ni kwa wazee? Muswada was vyombo vya habari ni chadema? Muswada was vyombo vya habari ni kwa ccm? Kweli? Ninachojua, muswada huu ni wa watanzania. Si wa chama fulani. Si wa wanachama wa chama fulani cha siasa. Tunataka muswada utakaokuwa sheria nzuri. Basi.
Chadema wameqmua kugeuza muswada huo kuwa wa kisiasa.
 
KUB kashindwa nini mpaka wahitaji nguvu ya ziada? Au Kuna namna wanataka kucheza na lobbying kwa wabunge wa CCM?
 
Muswada was vyombo vya habari ni kwa wazee? Muswada was vyombo vya habari ni chadema? Muswada was vyombo vya habari ni kwa ccm? Kweli? Ninachojua, muswada huu ni wa watanzania. Si wa chama fulani. Si wa wanachama wa chama fulani cha siasa. Tunataka muswada utakaokuwa sheria nzuri. Basi.
Mimi nimeusoma. Uko poa sana mswaada,wanaolalama ni wale wanaopenda kufanya vurugu kwa kisingizio cha uhuru wa habari na uhuru wa kutoa maoni. Hao lazima utawadhibiti ipasavgo ili kuweka heshima ya nchi
 
Lowasa, Baregu, Ntagazwa, Baregu ha Safari, ni miongoni mwa wazee wa CHADEMA ambao wataongoza mashambulizi nje ya Bunge dhidi ya CCM ili tu kile wanachotetea kwenye muswada wa vyombo vya habari kifanikiwe. Hata hivyo, nikiwaangalia wazee wenyewe kwa hakika wamechoka kweli.

Kama ni vita tayari CCM imeshashinda hata kabla ya kupigana. Wingi wa wabunge wa CCM unatoa ishara kuwa muswada huo utapita tu. wapende wasipende.

Niseme wazi kuwa hili ni kosa jingine ambalo CHADEMA wanalifanya. Kupeleka watu qmbao si wabunge wakasimamie mambo ya Bungeni. Ka vile wameamua kulipeleka suala hili kichama chama basi na sisi tutawahenyesha kichama chama. Lazima waipate freeh.

Wasiwasi wangu ni je hawatasusa tena? Maana kama hoja tumewazidi na idadi pia tumewazidi. Nini watajivunia? Hao vizee wao waliowapeleka Dodoma naamini kuwa hawatakuwa msaada wowote. Watarudi kwa aibu kubwa.

Tukutane Dodoma
Hao wazee wameenda kunywa whisky na kutafuna wake za watu
Chadema wanapenda sana kutapanya ruzuku,halafu wanadai dawa na mikopo
Bora ruzuku ifutwe tuone kama watapeleka genge la wachovu picnic
 
Back
Top Bottom