Lowassa, sema neno watanzania wakusikie

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
ukweli huyu mzee mi ninamkubali ni mchapaka kazi sana,ila mbona hatowi kauli mapema ili watanzania waanze mikakati wa kumweka madarakani maana siku hizi watanzania ndy waamuzi.sasa mzee wng sema ukisubiri chama kikusemea watu hawatakuelewa
 
Aseme nini huyo fisadi, ama alikoficha fedh za umma?????????? Wewe ndio hamnazo kweli kweli!!!

ukweli huyu mzee mi ninamkubali ni mchapaka kazi sana,ila mbona hatowi kauli mapema ili watanzania waanze mikakati wa kumweka madarakani maana siku hizi watanzania ndy waamuzi.sasa mzee wng sema ukisubiri chama kikusemea watu hawatakuelewa
 
Nahisi umetumwa wewe umeona humu JF nipakupiga promo la mafisadi? Hawa ni vikwazo kwetu vijana kukosa ajira
 
ukweli huyu mzee mi ninamkubali ni mchapaka kazi sana,ila mbona hatowi kauli mapema ili watanzania waanze mikakati wa kumweka madarakani maana siku hizi watanzania ndy waamuzi.sasa mzee wng sema ukisubiri chama kikusemea watu hawatakuelewa
<br />Haya ndio magamba ya humu JF, sijui amepewa kiasi gani cha fedha huyu.Mnaomfahamu mchunguzeni amepewa kitu huyu si maneno ya moyoni, fisadi/gamba aseme nini wakati hakuna aliye na haja naye, labda aongelee namna ya kutoa misaada ya kibinadamu kwa fedha alizowaibia watanzania.
<br />
 
Ngoja nipite usinisababishie bann ya bure maana naamini unafikiri kwa kutumia makalio.
 
Mimi ni Edward Ngoyai Lowassa,unakaa wapy nilete posa kwenu,unanilamba miguu sana,sasa nataka nikuoe kabisa.mwaaah
 
Lowassa sema ... usiogope.. sema x3 sisi vijana hatuogopi mapambano SEMA
 
Back
Top Bottom