Lowassa ni mtu hatari sana, namwogopa kwa kweli

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
1,179
2,004
Ni mwanasiasa wa ajabu sana kupata kutokea. Sijajua nini huwa anawaza kwa kweli.

1.Wakati wa tuhuma ya Richmond na baada ya tuhuma ya Richmond Lowassa ameendelea kubaki kimya tu akisikiza bila kujibu chochote.

2. Wakati anakatwa jina lake ktk kinyang'anyiro cha kupata mgombea kiti cha urais kupitia CCM aliendelea kuwa kimya ila hapa sasa akatenda(akaamu kuiacha CCM).

3. Anapokea matusi na kashfa nyingi sana kutoka CCM ktk kipindi hiki cha kampeni lakini amebaki kuwa kimya tu.

4. Amesalitiwa na sasa ananyanyaswa na rafiki yake wa zamani bwana Vasco da Gama lakini amebaki kimya.

Namuheshimu sana Lowassa na namwonea huruma sana ila kwa upande wa pili nabaki namwogopa. Ni mtu hatari sana, ana uvumilivu usio wa kawaida, huenda mwenzetu hana roho ya kibinadamu kama yangu na yako.
 
Nimejifunza mambo mengi sana kwa huyu bwana mkubwa lowasa na nimegundua kama maneno yangekuwa ni sumu basi huyu bwana mkubwa maneno yangeshamua muda mrefu sana na ukitaka kuishi muda mrefu wewe ishi kama lowasa
Embe fikiria watu wanamsema yeye anacheka tu anaongeza siku za kuishi.
 
Ni kweli usemacho watu wa aina hii ni wakuogopa maana hujui hata akifikiricho.Ni sawa na mwanaume au mwanamke amfumanie mwenza wake halafu shughuli nyumbani zinaendelea kama hakuna kilicho haribika.Hakuna kuuliza wala kutaka kujua,hapo lazima mkosaji aachie ngazi atambae tu
 
Mimi mwenyewe nashangaa sana,laiti kama mungu angeniumba na tabia robo tu ya lowassa peponi nilikuwa natia maguu kiulaini. Maana kama angekuwa na tabia yangu hadi sasa ningekuwa nishachomoa figo za watu kulipiza kisasi.

:doh: Tuko wengi!!!!!!!!!!
 
Ndio hivo itakavotokea kwa ccm wataachia wenyewe ngazi
 
HUYU NI UFO DRIVER!
HUYU NI ALIENS KIAKILI.
AKILI ZA KIUNGU ZA KU-OVERCOME WATU WENYE VIAKILI VIDOGO!
BUT HE KNOW WHAT TO DO AFTER!
IN FACT LOWASSA ""BIG UNCOMMON MACHINES""HE KNOW HOW TO FIX""
ii
 
Hata mi namshangaaa Ana Moyo WA ajabuuu mi ningekua na power kama yake ningekua nishaua watu kibao aisee,Lowassa Ni hatareeee genius yule babaa
 
Mimi mwenyewe nashangaa sana,laiti kama mungu angeniumba na tabia robo tu ya lowassa peponi nilikuwa natia maguu kiulaini. Maana kama angekuwa na tabia yangu hadi sasa ningekuwa nishachomoa figo za watu kulipiza kisasi.

Duh nimecheka sana
 
CCM muda wote huwa wanamtusi wakiona ataongelea matusi yao ila yeye hana muda nao kabisa
 
Hata mi namshangaaa Ana Moyo WA ajabuuu mi ningekua na power kama yake ningekua nishaua watu kibao aisee,Lowassa Ni hatareeee genius yule babaa

Anajaribu kuwaua lakini mungu anakataa. Unakumbuka Mwakyembe alipewa sumu na lowassa Kama siyo Kikwete angekuwa marehemu sasa hivi.
 
Katika Karne hii ya 5G, Majibizano yasiyoleta maendeleo ni ujinga uliopitiliza na utarudisha watu kwenye karne ya 1G...waache CCM warudishe wajinga wasiojitambua kwenye 1G.
 
Sasa hapa ndio utajua upande wa MUNGU na wa SHETANI. LOWASSA NI MTU MWINGINE KABISA AISEE.
VIVA UKAWA!!!
 
ukipewa hekima na busara umepata vyote...hata mkewe pia nimejifunza jambo kwake kwa kweli kukaa kimya na kuheshimu maamuzi ya mume pamoja na kashfa zote alizo nazo.. nahisi ningekuwa mkewe ningekuwa nimeshalipuka siku nyingi tu asee
 
Back
Top Bottom