Lowassa Masalia Serikalini, Nani Hao?

Sophist

Platinum Member
Mar 26, 2009
4,484
3,400
Wanandugu,
Katika vyombo vya habari (magazeti ya Kiswahili; MwanaHalisi, Majira, Nipashe) kuna msamiati mpya kuhusiana na Lowasa. Kuna watu ndani ya serikali wanaitwa 'Lowasa Masalia'.
Tunaomba mwenyekujua majina yao ayaweke hapa tafadhali
1.
2.
3.
.
.
.
.
 
Wanandugu,
Katika vyombo vya habari (magazeti ya Kiswahili; MwanaHalisi, Majira, Nipashe) kuna msamiati mpya kuhusiana na Lowasa. Kuna watu ndani ya serikali wanaitwa 'Lowasa Masalia'.
Tunaomba mwenyekujua majina yao ayaweke hapa tafadhali
1.
2.
3.
.
.
.
.

1. William Ngeleja
2. Adam Malima
3. Dr. Hosea
4. Lawrence Masha
5. Mizengo Pinda
.
.
.
.... Jakaya Mrisho Kikwete
 
ni ngumu kuweka majina yao mkuu, ila hakuna Lowasa masalia, Lowasa katika serikali ya JK ana nguvu kama rais. Inaonekana Lowassa wakati waziri mkuu, kuna sehemu ya Jeshi, usalama wa taifa, wizara , wabunge walikuwa upande wa Lowassa, na wengine upande wa JK.

Bado wapo wengi na wana nguvu, maana wako kwenye positions zao

Nguvu nyingine ya Lowassa ni urafik wake na JK, japo JK amejaribu kukwepa sana , ni dhahiri huwezi kuwatofautisha hawa jamaa, kesho Lowassa akisema anataka urais tunaye tu
 
Wakuu wa wilaya (80%) na wakurugenzi wa wilaya (80%) so just figure out..jamaa ndio aliwateua wote kwa mission maalum and he is coming back..lol
 
Huyu jamaa ni 'The governator' and 'he will be back' na hasira atakazorudi nazo ni balaa you have been warned.
 
huyu jamaa ni mpiganaji hatari sana..ana mbinu za medani zilizotukuka na ana ngozi ngumu yenye kuhimili michubuko..yaani sitashangaa akuja kuutaka urais wa tz na kwa jinsi alivyo na mikakati ya kimafia atakaa tu pale nyumba kuu magogoni
 
Naona mnamwogopa kama UKOMA.
Hamjui kama anaweza kuweka puppet wake pale halafu akafanya kama alivyocheza KAGAME....

kaaaz kweli kweli
 
Kama hiyo itakuwa kweli basi damu ya wadanganyika lazima itamwagika!!
It can be Anyone, or No one at all na hatutakuwa Wajinga kufikia kumwaga Damu, kwani Lowasa is "Simply a Lost Case" HE DOES'NT WORTH IT.
 
Aende zake umasaini kwenyewe kunamshinda angepata kwanza title ya "Ole" ndo tumuone mwanaume, si alipigwa chini huyu Mengi akapewa hiyo title pamoja ya kwa Mengi si Mmasai! Huyu umasaini hana nguvu namna hiyo! Ogopa watu wenye title Ole baba!! Mnamsifia? mafisadi tu na ma********* wake ndo wanamlinda!
 
It can be Anyone, or No one at all na hatutakuwa Wajinga kufikia kumwaga Damu, kwani Lowasa is "Simply a Lost Case" HE DOES'NT WORTH IT.
alibaba salam,
Naamini maoni yako ni sawa, Lowasa hastahili chebe/tone la Damu ya Mtanzania. as you said "HE DOES'NT WORTH IT"
 
Wakuu wa wilaya (80%) na wakurugenzi wa wilaya (80%) so just figure out..jamaa ndio aliwateua wote kwa mission maalum and he is coming back..lol
lowassa IMARA katokana na JK DHAIFU...period.
 
Uteuzi wa Lowasa ulianzia kwa kumteua JK. Nguvu yake ilianzia hapo. Waliofuata baada ya hapo ilikuwa ni kukamilisha ratiba tu.
 
EDDO is not the president but he is respected and feared than the president. Rostam isn't neither PM nor CCM secretary General but he runs the government and the party as he wishes. Putin of Tanzania is still active despite RO being in office. Kwenye hali hii unategemea JK anafanye nini?

Inawezekana hakuona karataka iliyokuwa inachezwa na EDDO wakati alipokuwa akimuunga mkono kugombea u-presidaa.
 
Bhagosha,

Bwana TUMAINI

EL hana nguvu tena kama mwanzo ingawa kama unavyosema alitawala akribia 90% ila kwa sasa nguvu nzuri ni kuwa na wabunge na nguvu hiyo imeisha potea kwaiyo ni kuwa sasa anatumia mbinu zake kucheza na UVCCM ili kuvuruga mambo na hapo ndipo kaulowanya mazima nyie ngojeni mtajionea mambo next yr hamtoamini macho yenu.

Mwakani watu waja na sera zao za kuitaji viongozi wanao wataka wao hiyo UVCCM wanayo itegemea itawageuka haijawaitokea ndipo wata pata picha kuna watu wamewachoka hao wabunge
 
Bwana Geza Ulole,

kwa taarifa yako bwn:EDDO sio mmasai pokea hilo mama yake ndio Mmasai na baba yake ni Mmeru ni alikwenda kuoa umasaini huko na akazamia but jamaaa ni Mmeru orginal.

Kumbukeni Mmasai ni Mmasai tu na Mmeru ni Mmeru na tabia zao ni tofauti chunguzeni mtabaini hapo kwenye tabia mtazijua,

Pile hamjiulizi kwanini mtoto wa Sokoine kapelekwa Ubalozi wa mbali si anajua mwana akirudi Home EDDO hana chake sio swala la kuuliza. Master mind yake its almost at the END
 
Back
Top Bottom