Lowassa kutumia sh bilioni 70 kujenga gorofa 25 Dar City Centre!

tanzania ni nchi pekee ambayo kwa unafiki wetu hatuna list ya matajiri ....kwa sababu watu wengi utajiri wao hauna sababu za kihasibu ...watu wengi inaonekana wanakwepa kodi na ndio maana ni ngumu kujuwa nani anamiliki nini zaidi ya hisia....
wenzetu uganda wamenifurahisha kitu kimoja list ya matajiri kwenye kila category sio siri...na waanaeleza na chanzo ....na kizuri wengi wao ni waganda tena weusi!!

the new money class
name
net worth (usd)
residence
sources of wealth
alooni mwagalwa

luweero
school, beer distribution
aggrey tumukye

mbarara
real estate, hotels
kyomuhendo amooti

fort portal
minerals
acaali kobusingye

fort portal
real estate
ali halari kamru

kampala
transportation
amina moghe hersi

kampala
real estate, shopping malls, hotels, hardware stores[3]
bernard ogwang ocwoo

lira
hospitals, construction, food distribution
bosco ogwang edola

lira
hotels, petrol stations, timber
charles muhangi

mbarara
transportation
chris kafule

kampala
beer distribution, real estate
drake lubega

kampala
real estate
elisha kakyomya

fort portal
real estate, tea estates
emmanuel amaza

adjumani
construction, hotels
felix orii

adjumani
beer and soda distribution
francis magezi

kampala
finance
fred akampumuza

kampala
real estate
george atyam

kabale
real estate, beer distribution
george kahwa

fort portal
hotels, night clubs
george kermudu adubango

nebbi
construction, real estate
george namachi

busia
real estate
glueport sande

fort portal
real estate, transportation
haruna musiwa

mbale
finance, real estate, beer distribution
herman kigoye md

masaka
real estate, medical services, pharmaceuticals, medical supplies
johnson ocol

lira
petrol stations, petroleum transportation, real estate
josephine kizza

masaka
farming
kakanyero

gulu
real estate, hotels
kayonza

kampala
real estate, transportation, beer distribution
michael awany

lira
real estate, petrol stations
moses kalungi

kampala
real estate
moses kyatwoha

bushenyi
petrol stations
olet elyak

lira
manufacturing, construction, transportation, real estate
omar mandela

kampala
automobile parts, real estate
patrick lucky

fort portal
transportation
phillip mangeni aremo

busia
real estate, hotels, beef distribution
sarah kiyimba

masaka
hotels
sebastian munulo

iganga
hotels
stephen mugasa

fort portal
real estate, newspaper distribution
steven njubi

iganga
real estate, schools
sulaiman mafabi lumolo

mbale
automobile dealership
timothy jokkene

gulu
petrol station
tonny rutakirwa

kampala
awaken the financial genius in you tonniez invesco inc
apollo ntegamahe

kabale
transportation,
amina a peace

kampala
real estate

the young entrepreneurs
name
net worth (usd)
residence
sources of wealth
alan shonubi

kololo
legal services, real estate
andrew rugasira

kampala
entertainment, coffee processing
arthur busingye

kampala
entertainment, real estate, import/export
charles odere

kampala
legal services, hotels
charlie lubega

kampala
entertainment, real estate
crescent baguma

fort portal
construction
edwin karugire

kampala
legal services
elvis sekyanzi

kampala
entertainment, broadcasting, night clubs
agaba noel

nakasero
d.j
mutyaba e

nakasero
d.j
isaac mulindwa

kampala
entertainment, construction, broadcasting
ivan batuma

kabale
hotels, real estate
halima wakabhu

fort portal
schools
james nyakuni

arua
transportation, real estate
jitu parma

kampala
construction materials
kenneth kizza

kampala
telecommunications
kiryowa kiwanuka

kampala
legal services
nina karugaba

kampala
interior designing, real estate
peter maganda

kabale
petrol stations, real estate
peter sematimba

lubaga
broadcasting
robina bwita

fort portal
hotels
sylvia awori

kampala
fashion designs, real estate, publishing
tonny rutakirwa

kampala
investments, finance, services, real estate
samuel sejjaka

kololo
accounting, real estate

the executive class
name
net worth (usd)
residence
sources of wealth
allen kagina

kampala
uganda revenue authority
anatoli kamugisha

lubowa
akright projects limited, real estate
baker magunda

kampala
uganda breweries limited
conrad nkutu

kampala
the monitor newspaper
charles hamya

kampala
multichoice limited, real estate
emmanuel tumusiime-mutebile

kampala
bank of uganda
ivan kyayonka

kampala
shell oil
maggie kigozi

kampala
uganda investment authority
mariam luyobo

kampala
taibah schools
martin bandebire

kampala
nssf
martin drito

kampala
drito global corp, mining, logging
richard byarugaba

kampala
national social security fund (uganda)
tom mugenga

kampala
transportation, clearing/forwarding
william kalema

kampala
consulting, investments
william muhairwe

kampala
national water and sewerage corporation
eliezah titus

kampala
the eliezah group of company, mining, real estate

the expatriates
name
net worth (usd)
residence
sources of wealth
a. R. Kalan

kampala
crane bank
david njoroge

kasese
hima cement limited
dr. Ian clarke

kampala
international medical group
themba khumalo

kampala
mtn uganda
phillip odera

kampala
stanbic bank
william pike

kampala
broadcasting, real estate

the pastors
name
net worth (usd)
residence
sources of wealth
cyprian bamwoze

kamuli
church of uganda
gary skinner

kampala
watoto church
imelda namutebi

kampala
liberty worship center
k. L. Dickson

fort portal
world evangelical ministries, schools
robert kayanja

kampala
miracle centre cathedral

the old money class
name
net worth (usd)
residence
sources of wealth
ben okiror

soroti
kakiase enterprise limited
bonny katatumba

kampala
airlines, real estate[4]
cranmer kaaya

luweero
ranching
ezekiel balaba

kabale
real estate, logging
gordon wavamunno

munyonyo
automobile dealerships, broadcasting, real estate, insurance
jaberi bidandi ssali

kampala
real estate, entertainment, restaurants
james mulwaana

kampala
dairy farming, manufacturing, horticulture, real estate, plastics
john batuma(r.i.p)

kabale
dairy farming, investments
john kulubya

kampala
real estate
john ssebaana kizito

kampala
real estate, insurance
alykhan kharmali

kampala
mukwano group
the ahmed brothers

arua
transportation, real estate
the hared family

jinja
petrol stations
the kasoma family

luweero
real estate, coffee processing, international trade
the madhvani family
200 million+
kakira
manufacturing, electricity generation, agribusiness, hotels & resorts, insurance, construction
the mehta family
350 million+
lugazi
manufacturing, agribusiness, insurance, steel
andrew kawamara

fort portal
diplomat
patrick okumu ringa

nebbi
automobile dealerships, real estate
rainer kohler

kampala
construction (roko construction limited)
rose rohrer

kampala
construction (roko construction limited)

the super rich
name
net worth (usd)
residence
sources of wealth
aga sekalaala

kasangati
poultry farming
amos nzeyi

kampala
real estate, banking, bottling, bakery, hotels
aya brothers
100 million+
kampala
hotels, flour milling, transportation, international trade
karim hirji

kampala
imperial hotels group, investments
bob kabonero

kampala
casinos
bulaimu muwanga kibirige

kampala
hotel africana, real estate, motorcycles, construction equipment, foreign exchange bureaus
charles mbire

kololo
telecommunications, banking, pharmaceuticals, fish farming, investments, power generation, railways.
elly karuhanga

kampala
legal services, investments
godfrey kirumira

kampala
real estate, hotels
hassan basajjabalaba

kampala
universities, schools, real estate, skins & hides, hotels
isabirye mugoya

kampala
real estate, construction
joseph zziwa roy

kampala
airlines, real estate, ranching, ziwa rhino sanctuary
kibukamusoke r

kampala
investments, real estate
martin aliker

kampala
investments
mohan kiwanuka

kampala
school supplies, printing, real estate
muhammed alibhai

kampala
bodyguards, security guards, investments
mukesh shukla

kampala
real estate, hotels[5]
patrick bitature

kampala
telecommunications, hotels, banking, insurance, resorts.
sikander lalani

kampala
roofing materials (roofings uganda limited)
sudhir ruparelia

kampala
ruparelia group

source: Uganda revenue authority

inatusaidia nini hii list kwa mustakabali wa taifa letu?
 
JIfunze kuto exaggerate.Unaijua dola bilioni 300!! Hata King Abdullah Bin Abdulaziz wa Suadi Arabia ambaye ananufaika kwa kiasi kikubwa na mafuta na wanazalisha zaidi ya Naigeria hawezi kufikia hata robo ya huo utajiri.

Mkuu jamaa atakuwa yupo sahihi,sanni Abacha alikuwa mtawala wa kijeshi wa Nigeria,alitumia rasilimali za nchi hiyo kujinufaisha yeye na familia yake!na kuwaacha raia wengi wa nchi hiyo wakiwa kwenye dimbwi kubwa la umasikini!
 
The fact that has decided to invest in Tanzania, I think he should be credited for that. There are many Tanzanians who are going to be employed up there. If there is a contract between Nyumba ya Sanaa and his company, what is the problem? After all, he has not changed the use of the area only improved!

Hey, Tanzanians, let us encourage our own people to invest in Tanzania. It is for the benefit of all Tanzanians.

Do you want him to invest elsewhere?

Usitake kukwepesha mada kwa makusudi hapa. Kuinvest Tanzania is completely another issue. Issue ya muhimu ni je, Lowasa as a civil servant anapata wapi utajiri wa kiasi hicho?

Hatuwezi kusupport wezi eti kwa sababu wanainvest Tanzania. Kwani kibaka wa simu anakuibia halafu anaenda kuuza ulaya au hapa hapa TZ? So kwa kuwa mbongo anafaidika basi tusiquestion ukibaka wake?
 
Ina maana bilion 70 ni hela mingi kwa Lowasa? Hii si issue mzee. pesa ipo
 
I guess that might not be true.!!! Hao Dira ni source ya kuamninika??
Tujifunze kuheshimu watu si kuchafuana tu. Agghhh!!

Weee EL anakusaidia nini? Umuheshimu mtu anaekula pesa umma...what goes around comes around.....si tunawatazama tu siku yao ipo.....Mobutu yuko wapi...wacha wajenge zitakuwa mali ya umma soon.....(N.H.C)
 
Bado wakati tunabidiisha kujadiliana hapa, naona wazo la Madela wa- Madilu ni kuntu kabisa. yaani tuangalie chanzo na whereabouts zake tangu day one inayojulikana.
Bali pia mpaka usiku huu, Wasanii hatujachoka maana bado Nyumba ya Sanaa haijaporomoshwa rasmi chini. naamini kuna kitu kinaweza kufanyika kuzuia hiyo hali na kuirejesha kwenye mikono salama. Bado juhudi za kuzuia zinafanyika
hakuna kulala.

Kama kuna mdau hapa mwenye nia njema anaweza kuunga mkono juhudi hizi kwa kuwasiliana na ngazi husika kupiga stop kinachoendelea iwe hivyo basi. Kwa pamoja twaweza.

Hivi wanavyosafiri huko majuu wanaangaliaga nini? 'milupo' Hivi hawaoni miji ya wenzetu wanavyoidevelop...kuna old town na new town...sasa old town yetu iko wapi km vitu vya zamani vyote vina vunjwa...HIVI HAWAONI HATA AIBU...NYUMBA YA SANAA KWELI?!!..Watengeze new town mbona mapori yapo ya kumwaga......
 
Mimi ndio hapo ninapoquestion intelligence ya viongozi wetu...wanafikiria nini...mtazamo wao ni upi? Ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi madaraka wanayo wanambwela tu....
 
Phillemon Michael nimemtoa kwenye list yangu ya wapambanaji, ana traits zote za wengi wa wanaCCM.

.....kaka kunitoa haisaidii...nishawishi kwa hoja....na soma hoja zangu upate kunijibu hoja kwa hoja...duniani kote nchi zilizoendelea wanapambana na repatriation ya pesa ...sasa jiulize tunafanyaje ili kuzuia pesa zetu kupelekwa ghambo kufaidisha ...wazungu ...ukiweza kuniambia namna ya kuzuia utoroshwaji wa pesa zetu...na kuniambia namna ya kurudisha pesa zetu zilizoibiwa[direct or indirect]....then ndio nitaomba uniondoe kwenye list ya wapambanaji......ushauri niliotoa ndio unatumika na nchi nyingine vile vile....huwezi kupambana rushwa bila kuwa na mechanism ya kukinga sufuria pale ambapo panavuja kidogo .....ili tusipoteze haata kidogo!!

Edward Lowasa is the Evil incarnet and the darkness of the united republic of Tanzania ...Nani anabisha? ...He is the opposite of JK Nyerere!!
 
Edward Lowasa is the Evil incarnet and the darkness of the united republic of Tanzania ...Nani anabisha? ...He is the opposite of JK Nyerere!!

Yes in some ways except that he too is mortal and in the lifetime of a nation, he could just be a speck of dust... soon enough to be food for the worms. We'll see how they like a 100 million dollar steak.
 
Mkuu jamaa atakuwa yupo sahihi,sanni Abacha alikuwa mtawala wa kijeshi wa Nigeria,alitumia rasilimali za nchi hiyo kujinufaisha yeye na familia yake!na kuwaacha raia wengi wa nchi hiyo wakiwa kwenye dimbwi kubwa la umasikini!
Si kweli hata kidogo. Tuache kupotoshana jamani kha!!
 
inatusaidia nini hii list kwa mustakabali wa taifa letu?

Nimeipenda hiyo list ya wenye uwezo UG ..kwa sababu imejaa wazawa..........

Yetu haipo kwa kuwa ikiwepo watajaa wengine na sisi hatutakuwamo...na haipo kwa saababu wenye uwezo hawaweki wazi vyanzo vyao vya mapato...
 
Si kweli hata kidogo. Tuache kupotoshana jamani kha!!

Eqlpz angalia chapisho nililoweka baadaye kuhusu wizi wa viongozi wa kiafrika...abacha aliiba zaidi ya dola bilioni 12......ni kweli sio dola bilioni 300[hiyo bilioni 300 ni kwenye convertion ya currency nyingine...equivalent kwa dola zaidi ya bilioni 12].........na hilo chaposho lilielezea hadi mbinu alizokuwa akitumia kuiba.....overivoicing imports...and underinvocing exports ......[in each case by 30% ambayo iliingia kwenye akaunti yake binafsi]
Naamini mbinu hii bado itakuwa inaendeelea kutumika na viongozi wengine wa kiafrika......na kuna mzee aliniambia huko nyuma enzi za mwalimu baadhi ya watumishi wa bodi za mazao ..pamba.,kahawa,mkonge ,etc walikuwa wakitumia mbinu inayofanana na hii kuuiba pesa zinazozidi kwenye soko la dunia pale inapotokea zimepanda juu ya matarajio......wakati ule serikali ikiuza yenyewe mazao..case kama hizi mfano wake ni ile ya GAPEX ya JAMES NYAKYOMA ambayo iliendaga hadi mahakamani miaka ya mwanzo ya 80..nadhani kwa sasa pale Bot Wanaweza kuitumia kwenye imports tuwe macho...tu.
 
Maadamu siku zote hizi tumeshindwa kumtia hatiani Lowasa kwa lolote, basi ni afadhali ameamua kuwekeza hapa ndani maana angeweza kwenda kuwekeza Afrika Kusini au Uingereza, ingekula kwetu zaidi. Kama ni kweli, basi afadhali wabeba zege watapata kibarua, najengo likiisha, ajira hata kama si za malipo makubwa, lakini angalao chache zitapatikana.

Wabaya kuliko wote ni hawa wanaokimbiza hela yetu iliyo kidogo huko nje.

Mnamshangaa Lowasa (kama ni kweli) hamjui kuwa anaweza kuwa amekopa hiyo pesa benki na dhamana ikawa vitega uchumi vyake ambavyo havina hesabu? Mlishangaa Chenge kuwa ana U$1 million UK, kumbe hapa hapa Tz huko NBC ana TZS 27 bilioni, ndiyo maana akawaambia kuwa zile za UK ni vijisenti. Sasa ameishtaki NBC akitaka fidia ya 300+ milioni kwa kutoa siri ya akaunti yake. Hao ni wachache tunaowajua lakini kuna watu wana pesa kupindukia, na ni civil servants.
 
.....kaka kunitoa haisaidii...nishawishi kwa hoja....na soma hoja zangu upate kunijibu hoja kwa hoja...duniani kote nchi zilizoendelea wanapambana na repatriation ya pesa ...sasa jiulize tunafanyaje ili kuzuia pesa zetu kupelekwa ghambo kufaidisha ...wazungu ...ukiweza kuniambia namna ya kuzuia utoroshwaji wa pesa zetu...na kuniambia namna ya kurudisha pesa zetu zilizoibiwa[direct or indirect]....then ndio nitaomba uniondoe kwenye list ya wapambanaji......ushauri niliotoa ndio unatumika na nchi nyingine vile vile....huwezi kupambana rushwa bila kuwa na mechanism ya kukinga sufuria pale ambapo panavuja kidogo .....ili tusipoteze haata kidogo!!

This time napata shida sana kukuelewa Mkuu. Huhitaji taaluma yoyote kusema kwamba hakuna hoja yoyote ya kuhalalisha wizi na hao wenzetu nje wanaofanya mikakti ya kurudisha fedha na kutoa misamaha kwa wanaosaidia dola kupata wahalifu ama kurudisha fedha wana uadilifu kuanzia wahalifu wenyewe, watawala na watendaji wa dola so hatuwezi kutumia mifano hiyo kuhalalisha wizi tena wizi ambao athari zake zinakwenda hadi chini kwa kuwa unaingia katika kusimika wahalifu wengi zaidi madarakani. Marehemu Jaji Nyalali alipata kusema, "Mtumishi wa umma fisadi (tafsiri yangu) anafasidi (anaathiri kwa rushwa) mtu mmoja mmoja lakini fisadi mwanasiasa kiongozi anafasidi (anaathiri kifisadi) jamii nzima na nchi kwa ujumla" akiwa na maana kwamba mwanasiasa fisadi analeta madhara yasiyokwisha maana matokeo yake sheria zitatungwa kifisadi, watendaji watateuliwa kifisadi, zabuni na kila kitu kitaendeshwa kifisadi na nchi itaingia katika balaa kubwa. Sasa hatuwezi kufumbia macho watu kama Lowassa kwa kisingizio cha kuwekeza nchini maana hata huo uwekezaji utakuwa ni wa kifisadi (mfano nyumba ya sanaa, TICS, Vodacom, NBC, Kiwira etc). Jamani dawa hapa ni kufuatwa kwa sheria na suala la fedha zilizopo nje kuna sheria ya Fedha Haramu ya mwaka 2006, na kanuni zake zinazounda kitengo cha Financial Inteligency Unit (FIU), kuna mikataba ya kimataifa na kuna ubabe wa kikachero wa kufuatilia fedha zetu, hapa jambo la msingi ni kuwakataa viongozi mafisadi kama Lowassa ili uongozi uwe na utashi wa kisiasa wa kutumia sheria zilizopo nchini na mikataba ya kimataifa na ubabe wa kikachero kupata mali zetu zilizotoroshwa na zilizopo nchini. Wanasiasa wetu wa sasa wakiwamo wa upinzani wanatuangusha sana hadi inatia kichefu chefu maana wanasimamia wasichoamini na kwa kweli namalizia kwa kusema:

"Life is not about the people who act true to your face. It's about the people who remain true behind your back."
 
Halisi naomba nielewe , hawa Financial Inteligency Unit (FIU),umeona kwenye document niliyoweka....hadi leo wamerudisha dola ngapi zilizoibwa ....CONGO,LIBERIA,NIGERIA na kwingineko...........lazima tuweke zero tolerance kwenye corruption ....na penye matundu au patakapovuja tuweke sufuria kukinga....maji.....hata nchi zilizoendalea wanayo njia ya ku track pesa zinazovuja.....kwa njia mbali mbali za enforcement au intelligence...au hata blind eye....hao uingereza mbona wanapokea pesa za haramu....hivi unajuwa dalali wa kupeleka pesa kwa pirates wa kisomali yupo wapi....yupo ulaya na hususan anayo makazi uingereza....meli ikitekwa ramsom money ikishakuwa negotiated yeye ndie anayepewa anajuwa namna anavyowafikishia pirates...mbona FIU hawamgusi.
...hivi unajuwa kuwa pesa zinazovunwa baharini na ma pirates zinawekezwa wapi???.......
 
Kumbe tuko mstari mmoja Mkuu. Hakuna huruma kwa wala udugu kwa rushwa, lakini lazima tutamke wazi kwamba, suala la kukusanya fedha sawa tukusanye na tuzirudishe lakini wezi tuwashughulikie. Hebu niambie sisi kama raia wa kawaida tumenufaika vipi na fedha za EPA tulizodanganywa zimekwenda TIB? Au ndio kilichomtoa Mlaki na kumuingiza Peter Noni? Kifupi hakuna jambo la kuhalalisha ufisadi wa wanasiasa wetu wakiwamo wa CCM na hata waliopo upinzani, iko siku hukumu ya umma itawashukia.
 
Halisi naomba nielewe , hawa Financial Inteligency Unit (FIU),umeona kwenye document niliyoweka....hadi leo wamerudisha dola ngapi zilizoibwa ....CONGO,LIBERIA,NIGERIA na kwingineko...........lazima tuweke zero tolerance kwenye corruption ....na penye matundu au patakapovuja tuweke sufuria kukinga....maji.....hata nchi zilizoendalea wanayo njia ya ku track pesa zinazovuja.....kwa njia mbali mbali za enforcement au intelligence...au hata blind eye....hao uingereza mbona wanapokea pesa za haramu....hivi unajuwa dalali wa kupeleka pesa kwa pirates wa kisomali yupo wapi....yupo ulaya na hususan anayo makazi uingereza....meli ikitekwa ramsom money ikishakuwa negotiated yeye ndie anayepewa anajuwa namna anavyowafikishia pirates...mbona FIU hawamgusi.
...hivi unajuwa kuwa pesa zinazovunwa baharini na ma pirates zinawekezwa wapi???.......

Kamanda, mbona unaji contradict. Kwanza umsifie civil servant Lowassa kwa kuwa na unexplained wealth na sasa anachunguzwa UK kwa money laundering allegations. Halafu umpongeze mtu huyu kwa kuwekeza pesa zake za wizi hapa Tanzania, wakati huo huo unazungumzia zero tolerance kwa rushwa. Mbona unajichanganya wewe mwenyewe.

Mwizi wa kuku akikamatwa anapigwa mpaka anauwawa. Kwani mapato ya yule kuku wa wizi anayapeleka kwenye offshore bank account? Vile vile kwa wezi wa simu au majambazi wanaovamia nyumbani kwa watu. Mbona na hawa huwasifii?

Au useme tu you admire Lowassa. Sijaona hata kwenye post yako moja uki condemn utajiri wa mashaka wa Lowassa. Tutakuamini vipi tena kamanda?
 
Back
Top Bottom