Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,062
- 731
samahanini kidogo waungwana nimesoma maoni yenuuuu......yanatia uchungu ghadhabu,ila nimeona hakuna suluhisho,tuna data /taarifa nzuri sana ,vidhibiti,lakini hakuna tulichoweza kuwafanya,.............................apart from that nimeingia kwenye program moja encata nikajaribu kuangalia alipata hizo hela kwa mda gani kama alikua mjasilia mali wa kawaida,yaani kama alisave 10milion kila mwezi alitumia miaka 2000 kuipata 70billion,.....kama alisave 100milion kila mwezi alitumia miaka 205,/sasa atalipa kiasi gani kila mwezi kumaliza hilo deni changanya na riba,........hizi fedha ni nyingi mno hatuwezi kumfanya chochote wakati wengine tunalala na njaa/tungemshauri tu atujengee hata viwanda basi uchumi uwe ahueni......................Tanzania ni nchi inayoongoza na rushwa Mapinduzi mpaka wote tuamue kwenye sanduku la VOTE/LABDA NDILO TUNALOWEZA.....................NI YA KWANGU HAYO
Mimi ni engineer by professional.
Najua kitu kimoja kikubwa kwamba system yeyote ile duniani iwe imara kiasi gani ni lazima iwe na weakness moja kubwa sana ambayo ni sambamba na uimara wake.
Tunahangaika sana kutafuta namna ya kudeal na MATOKEO na tunasahau kabisa kwamba MATOKEO yametokana na CHANZO.
Tukitaka kuwamaliza wezi wote nchini Tanzania ni lazima tuweke wazi maisha yao yote kuanzia siku walipozaliwa hadi hapo walipo.
KWa kuanza tu ni lazima tufuungue THREAD ya Fisadi mmoja mmoja katika wale 11 na kuelezea wasifu wao wote,watu wote wenye uhusiano nao, udhaifu wao wakiwa watoto wadogo,shule za msingi secondari jeshini na makazini.
Kule JKT enzi zile wakati wa somo la MBINU ZA MEDANI MM walitufundisha kwamba huwezi kupambana na kumshinda adui usiye mjui.
Kujua kwamba Lowassa ameiba bila kumjua Lowassa ni udhaifu mkubwa Lupia zitapenyezwa hapo.
Habari nyingi za siri tuzipatazo hapa JF na magazetini ni matokeo ya watu wenye juhudi kung'amua udhaifu mdogo wa mafisadi. Siku udhaifu mkuu ukiwekwa wazi hata mlio wa kondom inayopasuka unatosha kuwatia jamba^2 Mafisadi na kuwatia kiguu na njia.