Lowassa kufutiwa uanachama wa CCM?

Historia yaonesha kwamba ni Wazanzibari tu ndio wanaoweza kufukuzwa CCM. Ona walimfukuza Mansour kwa kupigia debe muundo wa Serikal tatu wakati Bara wanacheza rafu za wazi wazi na kukiuka maadili ya cgama bila kificho lkn hawaguswi KUUMEN NI KUUMENI TU

Siku Chadema wakiweza Kumfukuza Mbowe Nina hakika ccm Nao wanaweza kumtosa lowasa
 
CCm haiongozwi na vitasa kama waliopo Chadema

Kumbe kushindwa kuchukua maamuzi muhimu ikiwa ni pamoja kufukuza wanaokiuka ni jambo la fahari katika CCM? Poleni sana. Vilaza (vitasa. Kama unavyoita) ndio nyie mnaendeshwa na mtu mnabaki kuunda kamati za kuhoji tuu kisha kulalamika.
 
Mwenye uwezo wa kumtoa Lowasa CCM ni Mungu pekee,wengine wote ni propaganda.Lowasa ndiyo engine ya CCM ukitoa engine umeua chama.Huo ni ukweli usiopingika popote pale Tz.
 
tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo dodoma katika kikao cha ccm ni kuwa waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea urais hapo 2015.

Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao.

Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.

(afutiwe uanachama kwa kosa gani la pekee alilofanya kaka lowassa?kati ya wote walioitwa yeye ndie mkosefu kuliko wote?au ni kwa vile jina lake limewakaa akilini nanake bila lowassa kumtabilia mabaya hamli na kushiba!!mshindwe na mlegee kwa jina la yesu alie hai!!.mapepo ya makonda na nape na mangula yashindwe na yameshindwa!!!itikia amen
 
Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.

Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao.

Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.

atakwenda mahakamani kama mwenzie zitto
 
Umbeya mwingine bana! Ushindwe na ulegee! Mwacheni mzee wa watu, '
 
moto wa EL haufai hata kuotea mbali, na wanajua kama hawajui watajua tu,tuvute subira.
 
Hivi kwa hicho kikao cha chai ndicho kimvue mtu uanacha? Kadanganyeni watoto zenu sio sisi. Maamuzi magumu hayako CCM, harafu mijadara yenu ya uongo msituletee hapa.
 
Wamfukuze kwa kosa gani? Katiba ya chama inasemaje ?ccm c chama cha kukurupuka kama chama cha viroba
 
Back
Top Bottom