mukandarasi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 932
- 275
Dalili za Balali kuibuliwa huko aliko jichimbia naanza kuziona,hebu wamfukuze haraka kitendawili kiteguliwe!:flypig:
Ila ifike wakati ambapo viongozi wa CCM, wachukue maamuzi magumu maana kuna dharau zingine havumiliki, eti waliohojiwa wanasema yalikuwa kwenye mazungumzo ya kawaida tu, hakuna jipya, kilikuwa kikao cha chai, yaani watu wazima wamekusanyana Dodoma ili kunywa chai. Viongozi wa CCM chukueni hatua kali kwa hao wanachama ili wanachama wengine wakiitwa Dodoma wajue wanakutana na viongozi sio wanywa chai. Vinginevyo kikao kikitoka bila maamuzi magumu tutawaelewa kuwa kweli kilikuwa kikao cha chai ambacho hakina maana yoyote
Nakushauri ukasome sheria na kanuni za JF kuhusu majina!ccm haiwezi kujivua nguo hivyo kama chadomo
CCM haiwezi kutishia ku.j.a.m.b.a wakati i.na.ha.ri.sh.a
Kama lini Ccm ikawa na maamuzi magumu?? Majanhili, wauza sembe rais anawapa vyeo na kututangazia anawajua.tunasubiri maamuzi magumu kutoka chama kubwa.
Tena makubwa......ila hizi habari mara nyingi tunazisikia na hazina madhara kwa sababu hazitekelezeki.....
ila chadema inajamba huku ina harisha tehtehteh
Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.
Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao. Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.