Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

SI unajua mkapa na swahiba wake (baba riz) wanahusika na kuchota mabilioni ya EPA?? Sasa wameofia balali kuletwa nchini! Ehe heee! Na mkapa anahofia kunyanganywa mgodi aliojimilikisha kama CCM ya Baba yake, mbwa wakubwa hawa

Usitukane, ila ili EL akubalike tulisikia lazima anunue nafasi hiyo kwa mabilioni 10.Toka Chadema
 
Bora ukae kimya tu maana ungezidi kuchafua hewa kwa huu upuuzi wako.
Maswali yako kamuulize mkeo, huku sisi tunafuraha tu hakuna muda wa kujibu maswali ya kipumbavu.

Kama umepanik ivi au nimesoma vibaya. Katika list of shame dr slaa alikua mkweli au siasa za maji taka
 
Kuna maswali najiuliza sipati majibu kabisa..

Mchakato wa kumpata mgombea urais wa chadema umetangazwa lini?

Fomu za urais zinachukuliwa na Lowassa peke yake?

Alichokimbia si mchakato mbovu wa kumpata mgombea akiwa ccm?

Kama alikimbia kubanwa nafasi ya kugombea vipi kina Dr Slaa wanaonyimwa haki yao ya Kidemokrasia anawateteaje maana tunaambiwa tatizo ccm ni mfumo, hii anaona ipo sawa ?

Ajenda ya Chadema imekuwa ni kupambana na ufisadi, lowassa atasimamia Ajenda ipi kati ya ufisadi aliyoikuta na aliyotoka nayo ccm ya kuwachukia maskini?

Mkimpeleka kwa wananchi mtakuwa mnampigia kampeni au mtakuwa mnamtetea kwa aliofanya?


Ngojea niishie hapa maana tunaambiwa sisi watu wa mitandaoni ni wapiga kelele sio wapiga kura... Yetu macho!

Nadhani unaichosha akili yako bure kwa jambo linahitaji akili ndogo sana kulielewa.

1. Sidhani kama wewe una akili nyingi kumpita bingwa wa Uchumi tena mpenda Urais kama Profesa Lipumba ambaye amekubali kukaa pembeni na Chadema ndio itowe mgombea Urais ambaye ni Lowasa na Cuf ni lazima itatowa mwanachama wake na atapewa uanachama wa Chadema ili awe mgombea mwenza kukidhi matakwa ya kisheria.

2. Ni lazima ujuwe siasa ni hesabu na siyo fahari kuwa best loser, miaka yote wapinzani wanaimba ufisadi wa ccm na ccm inashinda kwa kishindo sasa Mungu ametuonesha njia kuiondoa ccm madarakani chaguo ni letu kuendeleza porojo au tuwachinjie baharini tu na kuubomowa mfumo mzima.

Pia usitalajie democratic process kwenye vyama vyenye lengo la kuchukuwa dola kwa mbinu yoyote hapa mambo yanaendeshwa kwa comprehesive agreement,

Na ndio maana Mbowe na Mbatia kwenye majimbo hakuna mwanachama aliyechukuwa form hizi ni protocal mkuu.

Au labda nikuulize swali tu Jakaya Kikwete aliwahi lini kugombea uenyekiti wa ccm na mshindani?

Haya mengi yanayokusumbuwa kichwani ndio aina ya siasa za kina Zitto Kabwe waliodhani kila situation ni kutumia demokrasia akataka ampinduwe Mbowe, mambo hayaendi hivyo Lowasa ana makubaliano maalum na Chadema na hakuna ubaya katika hilo.
 
Habr za uhakika ni kuwa EL atadhalilishwa na ndo utakuwa mwisho wake kwa kikatwa jina mara ya pili! Cjuhi ataelekea ACT!
Kamanda wewe fuata tu maagizo ya Mbowe, atadhalilishwa na nani wakati katoa fedha zake unadhani haya yote yanatokea ni bahati mbaya.

Juzi Mbowe alimtuma Mbatia, amkaribishe kesho yake Lowassa alikuwepo kwenye mkutano picha zikavuja, jana kapewa kadi kesho anachukuwa fomu ya urais kisha wanamtangaza kuwa mgombea.

Wewe jiandae kutafuta madodoki huku mtaani kwa ajili ya kampeni.

Pipoooz pwaaaa!!!!
 
Mkubwa tunahtaji kauli ya SLAA, SUGU, MNYIKA, WENJE, MSIGWA, LISSU.

ILI TUJUE TUNACHOMA KADI AU VP.

Unachoma kadi kwa misingi gani? Tatizo la nchi hii siyo mtu. Tatizo la nchi hii ni mfumo mbovu wa ccm mpaka wanauana wenyewe
 
Chezea mangi ww? Pessa ndio mpango mzima jamaa katembeza lupia na kutinga kwa mara ingine katika kinyang,anyiro cha urais. HONGERA MBOWE KWA KUTAMBUA KUWA IKURU NI PAGUMU NNA NNADHANI WENZIO WAMEKUELEWA BOTA MCHUKUE CHENU MAPEMA.
 
Hivi ni kweli Chadema, Cuf,NCCR - MAGEUZI na NLD Hatuna watu wenye cv ya kugombea urais mpaka tusubiri upande wa pili.Hii kali Viongozi wetu mnatuangusha kwahiyo angepita ccm tungemchukua nani au ndo tungeacha kabisa kuweka mgombea urais
CV kubwa ya mamvi ni PESA. Kapata wapi? Siyo jukumu lako. Atarudishaje? Hiyo haikuhusu. Angalau kuna watu watabaki na heshima yao kwa KUMKATA FISADI MWENYE TAMAA YA MADARAKA NA FEDHA :glasses-nerdy:
 
Mbona tulishatangaziwa kuwa Dr.wilbroad Silaa alishaguliwa kuwa ndio mgombea wa chadema au anachukua form ya mke mwenza?
 
Mbona tulishatangaziwa kuwa Dr.wilbroad Silaa alishaguliwa kuwa ndio mgombea wa chadema au anachukua form ya mke mwenza?

Weka ushahidi hapa, ulitangaziwa lini na wapi na ni nani aliyetowa tangazo hilo?

Sasa tunataka kuirudisha JF kwrnye quality yake, kama huma hoja kaa kimya.
 
Dr. SLAA please say sth. Unatuchelewesha.
Na ukijikaanga tu usapoti akili za mbowe UMEKWISHAAAAA.
 
Mbona Mhs wenje kwenyye mkutano wake mwanza alitangaza kuwa tayari mgombea kupitiia chadema ni Drr Silaa imekuwaje tena. Au ndio huyu mnunuuzi wa chama nfio ameanza kumili secta yake. Maana huyu kanunua chama tena kwa bei rahisi ya 10B tu
 
Wakati anakatwa Dodoma sisi tulikuwa tunashangilia wakati yeye alikuwa anasikitika hakujua kama Mungu alimuongoza Kikwete kumkata

Karibu uchukue form ya mgombea urais

Si bora huko alichukuwa fomu na wenzie akakatwa.. Huku ndio balaa fomu anachukua mtu mmoja na ni marufuku kupingwa... Cha kuchekesha no mchakato.
 
...mbona alishatupia tweets za kutosha, nukuu moja ni hii."ukituhumiwa, ukajieleza na kutupa vielelezo visivyo na shaka vya nani hasa mwenye kosa tutakusikiliza, watanzania watakusikiliza" "wapo wana ccm ambao wamekuja kwetu kujieleza kuhusu tuhuma zao na vielelezo lukuki, Lowasa si wa kwanza wala wa mwisho kufanya hivyo"...mwisho wa kunukuu..
Dr.#Slaa hana account yeyote twiter wahusika wenyewe #chademanews wameshakanusha ile account imeshafungikiwa endeleeni kuwa matumaini taarifa za uwongo.
BADO NINA IMANI NA DR.SLAA ANATOSHA .
 
Itakuaje mtakaposikia CCM kidedea tena? Ngoja kesho Dr silaa .mnyika. Tindu lissu watoee tamko ndio mtajua siada ni nini
 
Back
Top Bottom