siipendi ccm ila wakimsimamisha lowasa 2015 kama mgombea uraisi basi kura yangu wamepata.nina imani lowasa ni bonge la kiongozi na anaweza kukemea na kukataza hata kufanya maamuzi magumu.nchi yetu kwasasa ilipofikia inahitaji viongozi wakali watendaji na wafuatiliaji.wengine wanaoweza kupata kura yng pale ccmagamba ni magufuli na mzee wa madawa!! Aka(mwakyembe) nje na hao mm ni cdm wala c mliberali
kuipigia kura ccm 2015 ni kama kujimaliza sisi wenyewe. Maamuzi magumu waliyochukua inatugharimu mabilioni ya shilingi kuyalipa mashirika yanayozalisha umeme kila mwezi...wazalishe wasizalishe wanalipwa kila mwezi. Hela yote hii ingeboresha sekta nyingine hasa elimu na afya. Mfumo mbaya wa maisha umesababishwa na ccm kwa sababu ni watz wachache sana wanaishi kwa mishahara yao hadi kufikia mwishio wa mwezi na matokeo yake ndio huko kufanya biashara haramu..madawa ya kulevya, nyara za serikali na rushwa kila kitengo! Mikataba ya kuiuza nchi kwa wachina!
Miaka mingine mitano chini ya ccm tutakwisha! Kumbukeni kuwa watu weupe wanaamini kuwa sisi hatustahili kuitwa binadamu so they want our land na sisi kushney!