Lowassa huwa analipwa mafao ya 'Waziri mkuu mstaafu'?

raymg

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
842
214
Vyombo vya habar ikiwapo TBC, na baadhi ya TV programs zmekuwa znamnukuu EL kama waziri Mkuu mstaafu! Tujuavyo ni kwamba EL alijihudhuru tena kwa kashifa ya ufisadi.

Kwa jinsi ajulikanavyo kama mstaafu, huenda analipwa mafao kama waziri mkuu mstaafu?
 
Ndio analipwa kama Waziri Mstaafu kwani inasemwa kwamba alijiuzulu kuinusuru Serikali yake.
 
Ndio analipwa kama Waziri Mstaafu kwani inasemwa kwamba alijiuzulu kuinusuru Serikali yake.
nijuavyo mm kujihudhuru sio sawa na kustaafu na mtu huyo hupoteza sifa ya kupata haki ambayo alitakiwa apate kama mstaafu...pengine mwenye uelewa na hili atusaidie hapa!
 
Ndio analipwa kama Waziri Mstaafu kwani inasemwa kwamba alijiudhuri kuinusuru Serikali yake.

Msiwe na wasiwasi atazirudisha siku zijazo mbele tusichoke kuomba mungu siku ya siku itafika
 
  • Thanks
Reactions: Ame
an idea is a concept or mental impression,hii thread inaonyesha mawazo ya raymg ,these people kama EL ndio wanakula hela zetu so lazima waongelewe waache kufanya ujinga na kuibia watanzania,ukiwemo wewe.......idea's zipo ,ila jua kwamba hatuko sawa,na hatuwezi kuwa sawa.kila mtu akiandika kuhusu idea's JF haitanoga..
talk about people, why don't we talk about ideas?
 
Last edited by a moderator:
Vyombo vya habar ikiwapo TBC, na baadhi ya TV programs zmekuwa znamnukuu EL kama waziri Mkuu mstaafu! Tujuavyo ni kwamba EL alijihudhuru tena kwa kashifa ya ufisadi.

Kwa jinsi ajulikanavyo kama mstaafu, huenda analipwa mafao kama waziri mkuu mstaafu?
Ndani ya CCM hakuna Wa kumweleza lolote hata kwenye magazeti hakuna Wa kuacha kumwita mstaafu.Tanzania ina maajabu kaka
 
such as?kama waziri mkuu na maamuzi yake yalivyo muhimu katika uendeshaji wa nchi yako halafu unasema hivyo basi afadhali utoke hata humu kwenye jukwaa hutufai
 
NI KWELI kabisa nalipwa stahili zangu kama anavyolipwa SUMAYE,MSUYA,MALECELA na atakavyokuja kulipwa PINDA
ila naombeni kura zenu za urais 2015 nitaikomboa hii nchi
na pia bomu linalotaka kulipuka(vijana wasio na ajira) nitalitegua
sera ya kilimo kwanza ambayo huwa naikosoa hata ndani ya chama changu,nitaifuta na kuanzisha sera mpya ya ELIMU KWANZA,si mnakumbuka kabla cjajiuzuru ili kuinusuru serikali na chama changu nilisimamia vizuri awamu ya kwanza ya ujenzi wa shule za kata?...ila sina kinyongo na DR.MWAKYEMBE nitampa uwaziri mkuu,si mnajua tena mchawi mpe mtoto akulelee?
 
Habari za ndani zinasema Jakaya ndiye aliyemshauri ajiuzuru baada ya kuona zimwi la richmond linawaelekea wote. Lengo aendelee kupata mafao ya ustaafu kuliko akisubiri afukuzwe. Alikubali kwa shingo upande na ndiyo maana alianza kujitetea kwamba kaonewa utadhani kastaafishwa. NI WATU WENYE UPUNGUFU WA UFAHAMU KICHWANI NDIYO WANAWEZA KUMWONA EL KWAMBA NI CLEAN PERSON. Hat yeye anajitambua ila anatumia ujinga wa wa TZ.
 
Back
Top Bottom