Mi namsapoti Mh. Lowasa, unajua jamaa uwezo wa kuelewa na kuchanganua mambo, na anapogundu kuna tatizo hasiti kusema iliyo wazi, hata kama kuna dili basi yupo tayari kulichunia likibumbuluka na kutafuta njia ya kukwepa, kwa hiyo huyu jamaa namuita ni mjanja. Ni sawa na Mh. Sumaye. Kwa ufupi WACHAGA NI WAJANJA!!!!!
Hakuna cha ujanja wala nini! Jamaa alitaka kupima kina cha maji ili aone reaction ya watanzania akidhani wandangayika au kununulika kama anavyowafanyia wenye njaa huko Monduli na bungeni. Yeye ni mchafu na kwa kweli asithubutu kunyanyua mdomo wake kuongea lolote. Ametufikisha hapa na hawezi kukwepa lawama ya haya tunayoyashuhudia. Lakini ajue URAIS HAUPATI NGÓ HATA AKIHONGA NA KUTAMBIKA VIPI!