Lowassa apata za uso jijini Mbeya kutoka kwa JK

Hii jeuri ya Jk kumsema hivyo Lowassa basi alishajua 2015 Dr. Slaa anaenda Ikulu, vinginevyo angekuwa na uhakika Kuwa kamati kuu itampitisha Lowassa ili aende Tatu bora Kwaajiri ya kupigiwa kura na wajumbe NEC Taifa basi asingemkejeli hivyo coz kisasi cha Jamaa (EL), kingemmaliza Jk kweny ulingo wa Siasa. Na Lowassa akipenya kwenye tatu bora jua ndio mgombea kwa Tikert ya magamba, kwani NEC yote amesha inukisha Mlungula.
 
Weka habar katika aya mkuu

mbna kiswahili n lugha ya Taifa

wengne hatujui kinachoendelea,unapoandika km wote tunaijua hiyo habar unakosea
 
kutoka kwa mkulu mwenyewe, ameambiwa kuwa alikuwa wapi kutoa hela kabla anatoatoa hela sasaivi, ni rushwa tu hizo. Pia ameambiwa kwa kitendo alichosema ataingia vita na malawi, ni mlopokaji aliyetaka umaarufu wa kisiasa, hana lolote. Kapigwa vijembe kama kwenye kicheni pati. kutoka kwa jk mwenyewe. Sipati picha siku lowasa akiwa rais, kikwete na kikundi chake watakimbilia wapi.
Yani wewe hujui kuwa ulikuwa unasikiliza mipasho kutoka kwa Mzee wa Mipasho?
 
kutoka kwa mkulu mwenyewe, ameambiwa kuwa alikuwa wapi kutoa hela kabla anatoatoa hela sasaivi, ni rushwa tu hizo. Pia ameambiwa kwa kitendo alichosema ataingia vita na malawi, ni mlopokaji aliyetaka umaarufu wa kisiasa, hana lolote.

Kapigwa vijembe kama kwenye kicheni pati. kutoka kwa jk mwenyewe. Sipati picha siku lowasa akiwa rais, kikwete na kikundi chake watakimbilia wapi.

Wewe ni mjinga kwelikweli hao ni watani wanachezea akili za wasiojua wote ukiwamo wewe.
 
Chadema wanachochea moto ili ccm wavurugane, wanafurahi kweli... Kikwete hajamtaja lowassa hata kidogo, nyie mnapata wapi ujasiri wa kumlisha maneno
 
Hapa ndio tutaona ukweli kuwa ni chama kipi kina migogoro, maana kipindi kile tulipokifukuza kisaliti walichokituma kizitto, wakaanza kuropoka eti Chadema kuna migogoro, nikashanga sana, yaani kimtu kama kizitto kisababishe mgogoro, wapi na wapi, sasa watanzania tumejionea ukweli, wapi kuna migogoro.
 
Back
Top Bottom