Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

Status
Not open for further replies.
Utu ni muhimu kuliko Uraisi , kama mmekosa utu kiasi hicho mtu mgojwa mnamnanga je mtaweza kuwahudumia watanzania masikini wanaoishi majalalani??????????
 
Yametimia,hali ya kiafya ya mgombewa wa Ukawa kupitia CDM sasa ni wazi ni dhoofu sana.Tokakampeni zianze yamejitokeza matukio mengi yakuashiria mgombea huyo hali yakekiafya si shwari kama vile kushindwa kupanda jukwaani kule Singida, Kuhutubiadakika 3 tu Dodoma na Sumaye kumtetea anaumwa Malaria, kushindwa kutoa SautiSimiyu na Sumaye kuokoa jahazi, kuruhusu haja kubwa kutoka bila kujitambua kuleGeita eneo la stendi kiasi cha mkutano kuvunjikasasa na jana ameshindwa kuendelea na mikutano ya kampeni wilaya ya Tunduru kwasababu hali ilikuwa tete.
Habari toka moja yaviongozi wa juu wa UKAWA wameeleza kuwa ukweli hali hiyo inawatia mashaka namuda wowote mgombea wao anaweza kusafiri kwenda Ujerumani kwa matibabu lakiniakagusia kuwa kwa hali ilivyo inawezekana Think tank ya UKAWA ikakutana mudawowote wiki hii.Ilitubidi tumtafute Dr.Anton Mvungi wa Hospital ya AghaKhan ambaye alitueleza Lowassa kama si mkwelina itamgharimu sana kwani anaugua PARKINSON.
Amesema ugonjwa huu una dalili kama vile viungo vya mwili kama mikono,vidole namiguu kutetemeka,Misuli kulegea,mwili kukamaa na hivyo kutembea hatuandogondogo na polepole bila mikono kuchezesha mikono, ubongo kupotezauwezo,Uwezo wa kufanya kazi kushuka, kuwa na hisia/maono yasiyo sahihi,kupoteza kumbukumbu, sura kupoteza muonekano wake halisi na sauti kuwa ndogoinayosikika kwa taabu.

Hivyo ifahamike ugonjwa sio sababu ya mtu kunyimwa kazi ila kwa aina ya ugonjwaanaogua Lowassa anapaswa aachwe atulie aitunze afya yake. DRC iliwapoteza LevyMwanawasa na Michael Satta kwa ugonjwa kama huu wa Lowassa.

Hili limekuwa pigo jingine baada ya lile la matajiri kujiondoa kumchangiaLowassa baada ya kumuona Live mlimani City juzi pamoja na mapokezi anayoyapataMAGUFULI Mikoani yamewavuruga.

Tuwe wazalendo kwa nchi yetu tumchague mchapakazi aliye imara kiafya.

CHAGUA MAGUFULI..NI MCHAPAKAZI NA MUADILIFU

Akiumwa tutamchagua,akiwa kwenye machela tutamchagu, hata akifa tutamchagua, ata wakijitoa yeye na mbowe pia tutamchagua
 
Mi nikadhani kajinyea tenaaa
 
Duuuuuuu kazi kwelikweli, mule mule tuuu Saadam Hussein alikuwa wa Kuwait!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
DRC iliwapoteza LevyMwanawasa na Michael Satta kwa ugonjwa kama huu wa Lowassa.
 
Lete hoja zenye mashiko mtoa mada. Mbona mnarudia yaleyale? Watu wanataka maendeleo na sio maneno
 
HAKIKA MGOMBEA -HUYU NI TATIZO:

Kadri siku za uchaguzi mkuu zinavyokaribia, ndivyo hali ya kiafya ya mgombea , inavyozidi kudhoofu. Hakika huyu mzee anaumwa. Wala uhitaji kuwa na taaluma yoyote ya Kidaktari kugundua kuwa anaumwa, tena anaumwa kwelikweli.

Dalili zifuatazo zinathibitisha udhaifu wa afya alionao mgombea huyu:

• Uso wake na ngozi yake vimepoteza ile nuru yake ya asili. Ngozi yake imefubaa na kusinyaa. Haina ung'avu wa binadamu wa kawaida mwenye afya njema.

• Anashindwa kutembea kwa ukakamavu. Anatembea mithili ya mtoto anayejifunza kutembea.

• Halmashauri ya Ushirikiano kati ya viungo vyake vya mwili umeparaganyika. Ubongo upo kivyake na kiwiliwili kipo kivyake.

• Mikono, vidole na midomo vinatetemeka mithili ya mtu mwenye Mtindio wa Ubongo. Hivi ni viungo muhimu katika mwili wa mwanadamu. Viungo vya mgombea huyu vimeathirika hadi anashindwa kuhutubia kwa muda mrefu.

• Viungo vyake vya haja kubwa na ndogo navyo vimepoteza uwezo wa ustahamilivu.

• Anapoteza kumbukumbu na uwezo wa kufikiri. Alilolisema jana na juzi silo atakalolisema leo na kesho. Anabadilika badilika kutokana na kupoteza kumbukumbu. Hali ya kupoteza kumbukumbu si jambo jema hata kidogo,- kwa Kiongozi yoyote wa ngazi ya Urais. Kwani Urais unataka mtu mwenye afya njema ya mwili na akili ili aweze kutekeleza kikamilifu majukumu mazito aliyokabidhiwa na wapiga kura.

Huyu mgombea wa sasa sio yule tuliokuwa tunamfahamu miaka mitano au kumi iliyopita akiwa na afya njema. Lakini mgombea -huyu wa sasa amedhoofu mno. Hii ni dhambi kubwa na ni udhalilishaji wa hali ya juu ambao wafuasi wake wanamfanyia.

-
 
Na wewe mbona maka lio yako hayapo katika mpangilio sahii hatusemi, wewe makalio yako yametapakaa pembeni, kulia na kushoto, hapo katikati kuna uwazi mpana sana wenye harufu kali kabisa.
 
HAKIKA MGOMBEA -HUYU NI TATIZO:

Kadri siku za uchaguzi mkuu zinavyokaribia, ndivyo hali ya kiafya ya mgombea , inavyozidi kudhoofu. Hakika huyu mzee anaumwa. Wala uhitaji kuwa na taaluma yoyote ya Kidaktari kugundua kuwa anaumwa, tena anaumwa kwelikweli.

Dalili zifuatazo zinathibitisha udhaifu wa afya alionao mgombea huyu:

• Uso wake na ngozi yake vimepoteza ile nuru yake ya asili. Ngozi yake imefubaa na kusinyaa. Haina ung'avu wa binadamu wa kawaida mwenye afya njema.

• Anashindwa kutembea kwa ukakamavu. Anatembea mithili ya mtoto anayejifunza kutembea.

• Halmashauri ya Ushirikiano kati ya viungo vyake vya mwili umeparaganyika. Ubongo upo kivyake na kiwiliwili kipo kivyake.

• Mikono, vidole na midomo vinatetemeka mithili ya mtu mwenye Mtindio wa Ubongo. Hivi ni viungo muhimu katika mwili wa mwanadamu. Viungo vya mgombea huyu vimeathirika hadi anashindwa kuhutubia kwa muda mrefu.

• Viungo vyake vya haja kubwa na ndogo navyo vimepoteza uwezo wa ustahamilivu.

• Anapoteza kumbukumbu na uwezo wa kufikiri. Alilolisema jana na juzi silo atakalolisema leo na kesho. Anabadilika badilika kutokana na kupoteza kumbukumbu. Hali ya kupoteza kumbukumbu si jambo jema hata kidogo,- kwa Kiongozi yoyote wa ngazi ya Urais. Kwani Urais unataka mtu mwenye afya njema ya mwili na akili ili aweze kutekeleza kikamilifu majukumu mazito aliyokabidhiwa na wapiga kura.

Huyu mgombea wa sasa sio yule tuliokuwa tunamfahamu miaka mitano au kumi iliyopita akiwa na afya njema. Lakini mgombea -huyu wa sasa amedhoofu mno. Hii ni dhambi kubwa na ni udhalilishaji wa hali ya juu ambao wafuasi wake wanamfanyia.

-
Weka ushahidi kama si umbea!
 
Kwa kuwa wewe bado ki boi (kivulana) utakayekuwa mvulana milele utadhihaki utakavyo kudhihaki. Crazy GK aliwahi kusema katika "sista sista" kuwa Ujana maji ya moto....
 
Ole wako Mola aone hili unalolisema kwa mtu ambaye hajawahi inua kinywa chake na kumsema mtu vibaya, nakwambia Mola akiliona hili utatangulia mapema na utamwacha Lowasa. Kweli nasema Mungu akusamehe kwani haujui ulitendalo
 
HAKIKA MGOMBEA -HUYU NI TATIZO:

Kadri siku za uchaguzi mkuu zinavyokaribia, ndivyo hali ya kiafya ya mgombea , inavyozidi kudhoofu. Hakika huyu mzee anaumwa. Wala uhitaji kuwa na taaluma yoyote ya Kidaktari kugundua kuwa anaumwa, tena anaumwa kwelikweli.

Dalili zifuatazo zinathibitisha udhaifu wa afya alionao mgombea huyu:

• Uso wake na ngozi yake vimepoteza ile nuru yake ya asili. Ngozi yake imefubaa na kusinyaa. Haina ung'avu wa binadamu wa kawaida mwenye afya njema.

• Anashindwa kutembea kwa ukakamavu. Anatembea mithili ya mtoto anayejifunza kutembea.

• Halmashauri ya Ushirikiano kati ya viungo vyake vya mwili umeparaganyika. Ubongo upo kivyake na kiwiliwili kipo kivyake.

• Mikono, vidole na midomo vinatetemeka mithili ya mtu mwenye Mtindio wa Ubongo. Hivi ni viungo muhimu katika mwili wa mwanadamu. Viungo vya mgombea huyu vimeathirika hadi anashindwa kuhutubia kwa muda mrefu.

• Viungo vyake vya haja kubwa na ndogo navyo vimepoteza uwezo wa ustahamilivu.

• Anapoteza kumbukumbu na uwezo wa kufikiri. Alilolisema jana na juzi silo atakalolisema leo na kesho. Anabadilika badilika kutokana na kupoteza kumbukumbu. Hali ya kupoteza kumbukumbu si jambo jema hata kidogo,- kwa Kiongozi yoyote wa ngazi ya Urais. Kwani Urais unataka mtu mwenye afya njema ya mwili na akili ili aweze kutekeleza kikamilifu majukumu mazito aliyokabidhiwa na wapiga kura.

Huyu mgombea wa sasa sio yule tuliokuwa tunamfahamu miaka mitano au kumi iliyopita akiwa na afya njema. Lakini mgombea -huyu wa sasa amedhoofu mno. Hii ni dhambi kubwa na ni udhalilishaji wa hali ya juu ambao wafuasi wake wanamfanyia.

-

Mpe mkeo uone au mpe mke wa babaako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom