Lowassa akitaka kuukata mzizi wa fitina achukue hatua hii

Atakuwa anakata tawi alilokalia...hana ubavu!
Nadhani watu tunajua ya kuwa ni ushabiki na chuki binafsi za akina Sita, Ninauye, Membe, Kikwete, Nyalandu na wengine wengi ambao wamezijenga kwa Lowassa. Na pia tukubali ya kuwa uwezo wa Lowassa kikazi unawapa taabu hawa jamaa. Yupi kati ya hawa ni msafi? Membe ambaye amechukua pesa kutoka kwa Quaddafi ili kujikuza kisiasa hapa Tanzania, Sitta ambaye anasafarisha magogo nje ya Tanzania, Kikwete ambaye anachakachua nchi kupitia kijana wake Ridhwani? Nyalandu ambaye amejenga jumba kwenye kiwanja kichotengwa kwa ajili ya ujenzi wa dispensari? Yupi anaweza kumtupia mawe akisema mikono yake ni ya haki? Nadhani baadhi ya watanzania tumekuwa wanafiki sana, chuki hii kwa Lowassa imeanza kufifia na hakuna mwaka mmoja zaidi wimbo huu wa kumchafua Lowassa utakuwa unakubalika tena na watanzania. Yaliyopagwa na mungu binadamu hawezi kutegua, kama Mungu anataka Lowasa kuwa rais wa nchi hii atakuwa, wala siyo hao wenye kuvaa ngozi ya kondoo wakipita wakisema huyu hafai, huyu hivi, yule vile, kama ni fisadi toeni ushahidi. Msije mkakuta mnatoa hukumu pasipo haki....Msihukumu msije mkahukumiwa kwa kukosa kiongozi thabiti...Msidanganyike na hawa wenye hila binafsi akina Sitta, Membe na kundi lake?
 
Kwanza aje mtu na tuhuma za moja kwa moja na zenye ushahidi juu ya Mh, Lowassa ndio nae atajieleza ni vipi hausiki na dowans na richmond.
Sio hizi rumors tu akiwapa kisogo wananyoosha kidole kwa Lowassa akigeuka wanakipindisha, tena kwa kumchekea.

wewe acha uongo wako hapa,mzee lowassa anakwama na kuonekana mjinga kutokana na kuzungungukwa na watu wa aina yako ambao mnapenda kumuona lowassa akicheka kila wakati,hii issue yeye binafsi inamsumbua ndio mana anatapatapa,kuna mambo anayajua lakini hatuambii ama niseme anashindwa kutuambia,ndio maana jamaa kampa ushauri "mzuri" sana kwa faida yake yeye binafsi sio kwa faida yenu nyie mnaomdanganya kwa kumwita mwanaume wenu wa shoka!!

Nadhani watu tunajua ya kuwa ni ushabiki na chuki binafsi za akina Sita, Ninauye, Membe, Kikwete, Nyalandu na wengine wengi ambao wamezijenga kwa Lowassa. Na pia tukubali ya kuwa uwezo wa Lowassa kikazi unawapa taabu hawa jamaa. Yupi kati ya hawa ni msafi? Membe ambaye amechukua pesa kutoka kwa Quaddafi ili kujikuza kisiasa hapa Tanzania, Sitta ambaye anasafarisha magogo nje ya Tanzania, Kikwete ambaye anachakachua nchi kupitia kijana wake Ridhwani? Nyalandu ambaye amejenga jumba kwenye kiwanja kichotengwa kwa ajili ya ujenzi wa dispensari? Yupi anaweza kumtupia mawe akisema mikono yake ni ya haki? Nadhani baadhi ya watanzania tumekuwa wanafiki sana, chuki hii kwa Lowassa imeanza kufifia na hakuna mwaka mmoja zaidi wimbo huu wa kumchafua Lowassa utakuwa unakubalika tena na watanzania. Yaliyopagwa na mungu binadamu hawezi kutegua, kama Mungu anataka Lowasa kuwa rais wa nchi hii atakuwa, wala siyo hao wenye kuvaa ngozi ya kondoo wakipita wakisema huyu hafai, huyu hivi, yule vile, kama ni fisadi toeni ushahidi. Msije mkakuta mnatoa hukumu pasipo haki....Msihukumu msije mkahukumiwa kwa kukosa kiongozi thabiti...Msidanganyike na hawa wenye hila binafsi akina Sitta, Membe na kundi lake?

babu mbona unaleta majibu mepesi kwa maswali magumu?huyo Mungu ni Mungu gani hasa aliyepanga EL kuwa Rais?Kama kweli unamjua EL na unataka kumtetea ili tusiyemjua huyu mheshimiwa tukuamini,kajipange mkuu uje na vitu vinavyoshikika,siyo hoja nyepesinyepesi
 
Kama Lowassa ana uwezo wa kufanya kazi basi si mwingine bali kujilimbikizia mali na kutaka aonekane msafi wakati ni kinyume. Hata aoge mto Yordani Lowassa atazidi kuchafuka. Kama ataweza kufufua maiti basi aanze kujifufua mwenyewe. Je inawezekana au wanaomtetea wanalijua hili fika sema matumbo yao hayakubaliani na ubongo wao.
 
Hivi, why wanaompinga EL wanaongozwa na chuki binafsi,unafiki,??

acha kujitoa akili,ina maana we hujui kwamba Lowassa ana utajiri usiolezeka alivyoupata huku ikieleweka hajawahi kujihusisha na biashara yeyote kubwa inayoeleweke zaidi ya kuwa mtumishi wa umma na mwanasiasa?ukiacha hiyo richmond ambayo hampendi kuisikia sana,hebu atupe na sisi maunjanja ya njia gani aliyoiapply kuondokana na umaskini unaotusumbua wengi mpaka wenzetu wa mioyo midogo kama nyie kujitoa akili na kuuweka uanamme wenu pembeni na kuwa kama mwenzenu mmoja (sofia simba) kumkabidhi yeye uanamme wa shoka!

acha kujitoa akili,ina maana we hujui kwamba Lowassa ana utajiri usiolezeka alivyoupata huku ikieleweka hajawahi kujihusisha na biashara yeyote kubwa inayoeleweke zaidi ya kuwa mtumishi wa umma na mwanasiasa?ukiacha hiyo richmond ambayo hampendi kuisikia sana,hebu atupe na sisi maunjanja ya njia gani aliyoiapply kuondokana na umaskini unaotusumbua wengi mpaka wenzetu wa
mioyo midogo kama nyie kujitoa akili na kuuweka uanamme wenu pembeni na kuwa kama mwenzenu mmoja (sofia simba) kumkabidhi yeye uanamme wa shoka!

hivi ni uanaume kumshikia bango mtu kuwa ameiba na huwezi kuleta uthibitisho hapa?

hivi mwanaume anasema au anafanya? uanaume halisi ni kumpeleka jela EL...nothing else!

kati ya wewe unayebweka na huwezi kufanya lolote na mwenzako aliyeamua kumtetea Lowasa nani mwanaume?? fikiria1

we are not developing because we have people who are supposed to do something for this nation...but they are doing nothing except talkings! to me you are in the same group! if manhood can not erect because of defending EL....count me in!!! but mind you I have many heads in this planet they call me father!

judiciary system, polisi, DPP, rais n.k kama hawawezi kumfanya lolote EL...hao ndio wabaya, kamwe haiwezekani hisia zituamulie maisha yetu ya kila siku!!! ni ujinga na let not expose this...our IQ ni ndogo sana katika hili yangu iko juuu kwani bottom line of these problem is just because we have weak government!!! then point fingers to this govt. .....kwa sababu hata kama EL ni mwizi...hayuko peke yake kwenye secta zetu za ujenzi watu wanapiga fedha mbaya...wanaiba kwa kwenda mbele.. nyie ...mmebaki EL..EL...EL...Kama EL ni fisadi hakutakiwa kuwa uraiani!!! alitakiwa kuwa keko au ukonga!! anafanya nini huku?? nani wa kumpeleka??

kuna watu mpaka tuna wasiwasi na akili zenu.......EL anatuanika sana jamani!!
 
Back
Top Bottom