Lowasa na chama kipya cha siasa adc

Status
Not open for further replies.

mkweli1961

Senior Member
Nov 9, 2010
148
44
:scared:Wadau mnalionaje hili kwamba chama kipya cha siasa ADC huenda kina uhusiano na LOWASA kama maandalizi ya kugombea uraisi mwaka 2015 kama CCM itaamua kumtosa kwenye kinyang'anyiro. Anafahamu kwamba CHADEMA ni tishio ndio maana hata bendera yao inafanana naya CHADEMA. Huenda LOWASA akagombea kwa ticket ya ADC huku bara na Rashidi ambaye amefukuzwa CUF kugombea kwa upande wa Zanzibar. Tusuburi tuone.:mullet:
 
Edward Lowassa hata hajajiunga na ADC!!! Unawezaje kumtakia makubwa kama hayo.

Kama amekudokezea uanze hii thread aone reaction ya WaTz. basi endeleeni. Nawatakieni kila la kheri.
 
... Zitto Kabwe, KAFU-ADC damu. Kijiwe ni CHADEMA lakini roho ni kwa ADC; tehe tehe tehe, na urais tunautaka pia.
 
:scared:Wadau mnalionaje hili kwamba chama kipya cha siasa ADC huenda kina uhusiano na LOWASA kama maandalizi ya kugombea uraisi mwaka 2015 kama CCM itaamua kumtosa kwenye kinyang'anyiro. Anafahamu kwamba CHADEMA ni tishio ndio maana hata bendera yao inafanana naya CHADEMA. Huenda LOWASA akagombea kwa ticket ya ADC huku bara na Rashidi ambaye amefukuzwa CUF kugombea kwa upande wa Zanzibar. Tusuburi tuone.:mullet:

:iamwithstupid:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom