Lowasa amzidi JK maadhimisho ya maulid, ahudhuria jk akwepa

Tusubiri JMK na Gharib Bilal wahudhurie mikesha ya Krismas na Pasaka. Lowasa anahangaika sana. Juzi usiku alionekana kituko kama mende alieanguka ndani ya glasi ya maziwa.
 
Ustaadh EL pembeni mwa Makamu wa Rais Dr Bilal, kasoro hakuvaa kanzu na baragashia! Yote hii anatafuta nini? Tuache utani, kweli madaraka ni matamu.
 
Katika kuutafuta urais, huyu jamaa amefika mbali sana. ok ngoja tuone mwisho wake. Nape alipokuwa akizungumza star tv wiki iliyopita alimpiga vijembe kidogo, lakini mimi ninawasiwasi kwamba nape anaweza kuja kujutia matendo yake baadae, hajui uwezo alionao Mh, waziri mkuu aliyejiuzulu.
 
ITV wana maelekezo maalum ya kutomwonyesha Lowasa kwenye habari zao?
 
Katika kuutafuta urais, huyu jamaa amefika mbali sana. ok ngoja tuone mwisho wake. Nape alipokuwa akizungumza star tv wiki iliyopita alimpiga vijembe kidogo, lakini mimi ninawasiwasi kwamba nape anaweza kuja kujutia matendo yake baadae, hajui uwezo alionao Mh, waziri mkuu aliyejiuzulu.
Jana kwenye sherehe za CCM Lowasa hakuonekana kokote. Vijembe vingi vilielekezwa kwake hata hotuba ya swahiba wake haikumwacha mbali. Aanze Plan B sasa. Dalili sio nzuri hata kidogo.
 
Ustaadh EL pembeni mwa Makamu wa Rais Dr Bilal, kasoro hakuvaa kanzu na baragashia! Yote hii anatafuta nini? Tuache utani, kweli madaraka ni matamu.
Nitawashangaa sana mtakapombeza EL, Mwalimu wakati anatafuta Uhuru wa Tanganyika, muda wote alikuwa yuko na wazee wa kiislam mpaka ilifikia kipindi nae akafunga kwa kuwa ilikuwa ni mwezi wa ramadhani.
Kuna picha kibao amekula darizi na kofia kama kawa, Sema Uislam wa baba Riz1 nautilia mashaka sidhani kama kuna kitu pale. Ni bora EL kuliko JK.
 
Ustaadh EL pembeni mwa Makamu wa Rais Dr Bilal, kasoro hakuvaa kanzu na baragashia! Yote hii anatafuta nini? Tuache utani, kweli madaraka ni matamu.

na hakuwa na udhu!!! walimwosha miguu tu ...
 
Hebu tujaribu kufikiria tofauti kidogo. Hivi haiwezekani huku tunakokuita kuhangaika kwenye nyumba za ibada kunakofanywa na ENL kukawa na malengo ya kiroho zaidi kuliko yale ya kutafuta urais au kukubalika kisiasa? Kuna taarifa kadhaa za baadhi ya wadau wakitilia shaka afya ya mheshimiwa huyu....wanasema afya yake inazorota/imezorota! Si kwamba anajiweka tayari kiroho tu!?
 
Back
Top Bottom